Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wakuu, Nina wazo la 'win/win situation' inawezekana wewe ni mjasiriamali uko kwenye kundi hili:- Muuza genge Muuza mishikaki/ nyama mapande Muuza matunda Mama ntilie Mtembeza karanga...
7 Reactions
39 Replies
826 Views
Habari? Katikat pitapita mitandaoni na kusoma vitabu tofauti tofauti juu ya hizi mashine za kutotolesha vifaranga nimefanikiwa kutengeneza Moja yenye uwezo wa mayai 33. Na nimefanya majaribio...
2 Reactions
8 Replies
523 Views
Habari wanaJF, Kichwa cha habari kinajieleza natafuta partner ambae anajua mambo ya precious stones tuanzishe duka la kuuza vito vilivochongwa kama upo interested njoo pm...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Habari wadau, Naombeni msaada wa mawazo, Ninafikiria kuanzisha biashara ya kuuza kuku (hai) katika mkoa wa Dar es salaam. Mfumo niliofikiria kuutumia ni wa kutengeneza banda la nyavu kwaajili ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
MABALO YA MTUMBA YA CAM STORE 1.Balo la magauni marefu Shifonie 750000 Dubai 850000 Canada PC 140+ 2.Balo la magauni mix mafupi 580000 China 650000 Canada PC 120+ 3.Balo la magauni mix 580000...
8 Reactions
21 Replies
8K Views
Habari, najua post zetu hazichukui nafasi kwa walio wengi, basi kwa wale tu wenye nia na pengine badae watakuwa na uhitaji wa huduma za ushauri na kuandikiwa "Writeups" kwa ajili ya mikakati yao...
1 Reactions
4 Replies
252 Views
Habari, Wanandugu naomba kujua sehemu gani naweza kupata beef fillet kwa bei chini ya elfu 15 popote pale ntafika kwa sasa Arusha. Asanteni
2 Reactions
3 Replies
235 Views
Habarii, naomba kwa yeyote anae ishi Dsm na anaijua kariakoo nje ndani Hasa kwa wauzaji wa jumla wa vipodozi hii kwa mawakala wa bidhaa au waagizaji wa bidhaa direct from viwandani au nje ya nchi...
2 Reactions
5 Replies
324 Views
Wakuu kutokana na msukumo kutoka moyoni. Wakutoa elimu ya sanyansi na teknolojia kupitia katuni nimejikuta nimeingia katika biashara hii rasmi. Ila Sasa nimeshindwa kuelewa je ninacho kitoa kwa...
10 Reactions
57 Replies
2K Views
Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Mambo vipi wakuu, Nimeamua kujikita kwenye biashara ya daladala na bado nipo kwenye hatua ya utafiti. Nimepitia threads nyiiingi sana humu na watu wengi wanaoipiga vita hii biashara wanakuwa na...
29 Reactions
467 Replies
190K Views
Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu. Inaumiza eeh! Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania. Hapa...
3 Reactions
1 Replies
567 Views
BIASHARA ZA SIMU NA KOMPYUTA NA UAGIZAJI: BEI ZETU ZOTE KWA BIASHARA TANZANIA 📦 Bei Nzuri Za Simu, Laptop, nHuduma za Uagizaji Bidhaa ➡️Kwa wale wanaoagiza bidhaa kutoka China, ikiwa ni pamoja...
1 Reactions
3 Replies
797 Views
Habari, Mimi ni mpenzi Sana wa kusoma majarida mbalimbali online. Sasa siku moja nikukuta jarida likijadiliwa linalo husu kuagiza bidhaa kutoka china hadi dar kupitia Alibaba, Ali express, 1688...
55 Reactions
327 Replies
38K Views
RAIS SAMIA AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA USIMAMIZI MADHUBUTI WA SEKTA ⚫️ Trilioni moja yatengwa kwa ajili ya ununuzi wa dhahabu kupitia BOT ● Shilingi Bilioni 250 zatengwa kama dhamana ya...
0 Reactions
3 Replies
241 Views
Habari za majukumu wadau? Natumai mpo shwari. Kama title inavyoonekana, jamani naombeni muongozo kati ya Babati town na Dodoma ipi sehemu nzuri ya kufanya biashara ndogo ndogo na penye unafuu wa...
4 Reactions
68 Replies
9K Views
Wakuu habari Naomba kujua kiwango cha juu cha mwisho ambacho kama mteja wa CRDB naweza kupokea kwenye account yangu ya mshahara.
3 Reactions
11 Replies
488 Views
Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo; Aina ya bajaji ni RE Kianzio cha mkopo...
22 Reactions
153 Replies
9K Views
Assume unatangaza kazi zako kutokea mikoani kwenye social media hupati wateja kwenye mkoa wako, hatimaye wengi hutoka Dar. Je, unawezaje kuwafanya wakuamini hasa wale wanaohisi kutapeliwa kila...
1 Reactions
4 Replies
335 Views
Habari za muda wadau, Mimi shughuli zangu ni za kusafirisha mizigo China, India na Dubai. Nimefanya kazi na kampuni nyingi za usafirishaji, lakini nikiri wazi kuwa Kampuni ya Mo cargo wana huduma...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom