Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

I hope Wote wazima na walio wagonjwa Mungu awape Tumaini jipya wapate kupona na kurejea katika Majukumu yao Amina🙏 Tuje katika wazo Mimi Ni kijana 24Yrs naishi Dsm kwa sasa hivi nimepata wazo la...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Watu wengi wanafirisika biashara Kwa kufuata mkumbo wa kufungua maduka, bar, vibanda n.k Yaani mtu una million 2 au 3 unachukua mzigo wa kuweka dukani? Ndugu utalia sana aisee, Vijana wanatoka...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Wandugu nina 65 M. Naombeni idea ya biashara asante. Ninaishi dar na dodoma muda mwingi.
7 Reactions
91 Replies
3K Views
Biashara ya vifaa vya pikipiki, bajaji, na guta: Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki, bajaji, na guta. Pia, unaweza kuuza pikipiki, bajaji, na guta kama bidhaa...
36 Reactions
105 Replies
27K Views
Nina biashara yangu ya kuuza viuongo, nataka mtu anaweza kudesign muonekano mzuri wa brand yangu kwa bidhaa zifuato Tea masala : 100g Black pepper: 500g Garlic: 250g Ginger: 250g Cinnamon: 250g...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
MAONESHO YA MADINI GEITA KUBORESHWA KUFIKIA HADHI YA KIMATAIFA-MAVUNDE - Rais Samia Suluhu Hassan kufunga maonesho -I dadi ya washiriki wa nje ya nchi waongezeka - RC Shigela aeleza mpango wa...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Je umewahi kusikia biashara hii ya Kulenga viwanja? Twende sawa Habari za muda huu, natumai mzima kiafya kama sio mzima sana basi Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uwe sawa kiafya. Je umeshawahi...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka takribani 7 hivi na mwenye mshahara (take home) usiozidi 700,000/= kwa mwezi. Kwa hili namshukuru MUNGU. Kuna...
22 Reactions
228 Replies
22K Views
Aisee Kuna nyumba Iko dar imegoma kuuzika kama kama mwaka saa hii😀 Sasa kama Kuna dalali hodari anicheki Whatsapp au normal namba naacha hapo chini, nitakutumia picha na kila taarifa bei...
7 Reactions
42 Replies
811 Views
Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Leo nimeona nilete mjadala mdogo kwa ajili ya wale ambao wanatamani kuazisha biashara ila...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
MGODI MKUBWA WA DHAHABU NYANZAGA - SENGEREMA KUANZA UJENZI MKUBWA JANUARI 2025 ⚫️ Utakuwa mgodi mpya mkubwa katika kipindi cha Rais Samia ●Mgodi kutoa ajira zaidi ya 1500 ● Waziri Mavunde...
1 Reactions
5 Replies
514 Views
Habari wana JF. Nimekuja mbele yenu nikiamini kwenye jukwaa hili nitapata msaada wa biashara hizi mbili kati ya ufugaji wa kuku au biashara ya mbao ipi the best kuanzia kwenye changamoto za soko...
1 Reactions
58 Replies
17K Views
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, Karimu Chipola amefungua rasmi mnada wa kwanza leo Na bei ndo ni kuanzia kilo 4075 hadi 4070 Kwa kweli hongereni wakulima hiyo ni babu kubwa sana
1 Reactions
4 Replies
602 Views
1 Reactions
3 Replies
214 Views
Uanzishapo biashara ya bucha, hakikisha pia una kijiwe cha nyama choma. Hii itakusaidia nyama kutokubaki, na kufanya fedha yako kuwa kwenye mzunguko. Hakikisha pia una wateja wako angalau kumi wa...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Holding company ina faida gani ukilinganisha na kampuni za kawaida? 2. Je subsidiary company inaweza milikiwa 100% na holding company moja? 3. Kama holding company ina kampuni 10 je kila...
2 Reactions
9 Replies
963 Views
Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
1 Reactions
0 Replies
187 Views
Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila...
17 Reactions
316 Replies
10K Views
Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana...
44 Reactions
55 Replies
4K Views
Kwa mawasiliano +255 689 859167
1 Reactions
8 Replies
428 Views
Back
Top Bottom