Habari za wakti huu,
Ni matumaini yangu kwamba nyote mnaendelea Vizuri na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Hata mimi niko Salama.
Ni muda mrefu sana tangu niweke andiko rasmi hapa Jukwaani, hata...
PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA.
Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo.
Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu...
Soko la hisa la Dar es Salaam lina makampuni 26 yaliyo jiorodhesha. Katika hayo kuna makampuni yanayofanya vibaya na yale yanayo chechemea.
Tuangalie orodha ya makampuni yaliyo na hali mbaya na...
WAZIRI MAVUNDE: ASLIMIA 20 YA UZALISHAJI DHAHABU NI KWAAJILI YA AKIBA YA NCHI
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde amesema kuwa kupitia kikao cha Wadau wa Madini, Wizara ya Madini na...
Habari,
"Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo...
Wadau Mimi ni mtumishi wa afya, mshahara wangu unaniruhusu kukopa mil 15.
Nataka nikope mil 15 niwe nakatwa kwenye mshahara Kwa miaka sita, Nichukie mil 10 niingie kwenye mpunga na mahindi...
Salaam wakuu:
Kama ushamaliza chuo na bado hujaajiriwa kwenye taasisi yoyote ya serikali au private Tunajaribu kusaidiana na kukumbushana, japo hiki kitu vijana wengi wanafanya.
Acha kubet na...
NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA MPANGO WA KUONGEZA AKIBA YA DHAHABU NCHINI.
-Awataka wadau kuunga mkono mpango wa Serikali
-Waziri Mavunde asema mgomo umeisha kupitia...
Habari za Leo wajasilia Mali.
Mimi ni mfugaji wa kuwa nyama, hupendelea sana kufuga kuku aina ya sasso Kwa sababu hawashambuliwi sana na magonjwa.
Sasa Leo nilikuwa naomba elimu kwenye nataka...
Kuwa tajiri mara nyingi kunategemea mchanganyiko wa mambo, na bahati huweza kuwa na nafasi, ingawa kwa kawaida siyo kipengele pekee cha utajiri. Watu wengi wenye mafanikio wanakiri kuwa...
Mhadhara - 38:
Baada ya kumaliza matembezi yangu kwa takribani wiki mbili kule jijini Mbeya. Leo nimefika Dar es salaam hivyo naomba niwashauri wafanyabiashara (wawekezaji) wakubwa wa kule Mbeya...
Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa...
Habari za wakati huu wana JF, natumai mko salama na mwaendelea na mapambano ya kujitafutia mkate wa kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Mimi nipo jijini Mwanza na nimekuja kwenu...
Habari wanajukwaa ,
Korosho ni zao ambalo hulimwa mikoa ya Mtwara na Lindi, Na ni zao kuu la biashara katika mikoa hiyo.
Biashara ya ununuzi wa korosho, imewatoa watu wengi sana kutokana na...
Habari wadau nauza eneo langu la biashara rangi 3 nimelipia kodi miezi 4 nauza kwa laki moja na 20 lipo karibu na sheli ya puma jirani na dar live wanaotaka kuuza makava ya simu,viatu vya kiume na...
Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia sana kufahamika kirahisi na kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.