Habari Wana JF nina idea ya biashara ,nipo Kilimanjaro,Nina proposal ya biashara but nahitaji Sponsor, niingie nae mkataba, Mimi ndiye nitasimamia kampuni
Je, naweza kupata wapi au pakuanzia...
Korosho seasonal
Kuna kagomba wa ajabu sana mkoa wa kusini. Mtu anapigia maboss walioko dar huko au mikoa mingine kuwaaminisha kuwa korosho mwaka huu ni Big deal kwa sababu uchaguzi upo njiani...
Habari wanajamvi, nipo katika harakati za kutafuta masoko ya peanut butter natengeneza peanut butter za organic (isiyo na mchanganyiko wowote) ya chumvi na ya asali shida ni masoko napatikana...
1. Smartphones na mobile ndogondogo nzuri zenye mvuto mfano nokia Og au vile vidogo kbs.pia kuna protector na cover za simu
2. Flashes na memory card..sio nzito hivyo zinabebeka kiurahisi...
Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB
Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi...
Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni...
Ukiwa Mbeya ni sifa ya nyongeza 🤝 lakini popote tutazungumza tu.
Kuna malighafi ya kuundia manati mipira bora kabisa inatafuta mjasiriamali.
Acha kutumia iliyotumika kwanza ni hatari kiafya...
Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa
Device: Renovvo
Processor - 2.16 GHz
RAM - 4GB
EDITION - Window 10 pro
Version - 22HZ
CONDITION: Used like New
BEI : 250,000 (njoo...
Habari wakuu:
Nafanya biashara ya duka la rejareja yapata miaka 6 sasa mafanikio makubwa nimeyapata kupitia hii biashara hakika sijutii kuingia katika hii biashara.
Nakaribisha wana JF kushare...
Taarifa za kufanikiwa katika biashara zinapatikana kila mahali lakini hakuna mahali wamenyesha hizo biashara zinazosababisha hayo mafanikio, ni biashara za aina gani hizo?
Soko la mitaji likiwa...
- Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini
- Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini
- Uganda yavutiwa na maendeleo ya...
Lets say take home yako baada ya makato yote ni shilingi X per month.
Umeanza biashara yako au umetoka nayo mbali, upepo unavuma wa pesa direction yako yani kila wiki au kwa siku kadhaa chache...
Salaam
Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 01, 2024 amezindua usafirishaji wa bidhaa mbichi zikiwemo mbogamboga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.