Wasaalam ndugu na jamaa
Naomba kuuliza, je biashara ya electronic transactions kama mpesa, tigopesa, Airtel money na halopesa ,faida yake inapatikanaje?
Na je kwa hapa dsm, biashara ipi inatoa...
Mara nyingi huwa nakutana na matangazo Mtandaoni yanatangaza bidhaa na kunadi ofa ...
Unakutana na Tangazo linasema OFA OFA OFA jipatie ......kwa bei ya ofa ,lakini ukiangalia sababu za yeye...
Hello wana Jf habari za wakati huu sikuyajana nimejaribu kupitia katika app ya alibaba na nikaanza kujaribu kuagiza kamzogo lakini changamoto niliyokutana nayo ilikuwa ni estimated shipping fee...
Habari zenu, wakuu naomba Msaada ulikuwa ni tareh 27 mwezi wa 7 mwaka Huu 2021, nilikwenda Tra kuchukua TIN number nikafanikiwa kupata Biashara yangu ni playstation Nina TV moja chogo na moja flat...
Jinsi Watu Wanavyojiajiri Kupitia Blog
Blog ni Nini na Inapatikanaje?
Blog ni tovuti au sehemu ya tovuti inayosimamiwa na mtu binafsi au kikundi, ambapo taarifa, mawazo, na habari zinachapishwa...
Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza...
Nawishi kuchukua loan kozi life limekua likinichapa sana, wataalamu nipeni uzoefu sana.
Je, nitaweza kopesheka shingapi kwa benki ya CRDB kwa hio salary?
Sijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc.
Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu...
Wapendwa kwa unyenyekevu natanguliza salamu kwenu nyote.
Nimeamua kuanza kununua bidhaa kama mikoba na pochi za wanawake moja kwa moja kutoka China kupitia Alibaba na Aliexpress na kuzileta hapa...
Wakuu,
Kila mara ninapolipia bidhaa toka hizi supermarkets, napewa option ya kujaza nambari yangu ya mlipa kodi, maarufu kama TIN number kwenye receipts.
Swali: Je, kuna faida yoyote...
Kuanzisha na kukuza biashara ni ndoto na malengo ya kila mjasiriamali, lakini mara nyingine ni vigumu sana kupata mawazo ya namna ya kutoka ngazi moja kwenda nyingine. Biashara nyingi ndogo ndogo...
Wana mazengo baada ya kufanya sana biashara hii ya kuagiza bidhaa nchi mbalimbali kama vile China, Turkey, India, oman nk. Kwa takriban miaka 7 sasa ikiwa ni mjumulisho wa miaka 4 bila eneo la...
Nimekuwa na shauku ya kuanzisha barbershop, au saloon ya kiume hata ya kike naipenda nikipata msimamizi maana mimi sijui hayo mambo ila naogopa maana mambo ya kuwindana kama tuko paredi hapana...
BIASHARA YA KUAGIZA CHINA
Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba chini ya ibara ya 18 kifungu cha kwanza kuhusu uhuru wa kutoa maoni. Nitazungumzia kuhusu hii biashara ya kuagiza vitu China...
Jamaniee, Mungu atupe nini sisi watz? Kule Liganga kuna chuma ambayo tutaweza kuchimba kwa miaka hata mia, kule mchuchuma na mbinga kuna makaa ya mawe tunayoweza kuchimba kwa muda wa miaka...
RAIS SAMIA AZINDUA SOKO LA MADINI YA VITO NA DHAHABU TUNDURU
-Ni soko la Madini la 43 nchi nzima
-Apongeza ushiriki wa sekta binafsi
-Waziri Mavunde aelezea ukuaji wa makusanyo ya maduhuli...
Habari wana jamvi kama kichwa kinavyosema hapo juu nina omba kujua ukiwa na mshahara wa laki 5 mpaka laki 7 ambayo ni take home, Unaweza kupata mkopo wa maximum kiasi gani? Na itabaki shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.