Amani na utulivu iwaangazie wana JF: Ndugu zangu katika Imani kwa heshima na tahadhima naomba mwenye kujua masoko ya jumla ya vichwa, shingo, firigisi na miguu ya kuku wa kizungu (VIZIGO)...
Hivi wadau biashara maeneo ya masokoni kwenye mikusanyiko mingi kama mbagala na kkoo hivi kuna uchawi kweli maana watu wanadai pamoja na mkusanyiko mkubwa hawauzi kitu au wanauza tuwili tatu au 4...
Times Reporter and Agencies
At first it was just romours. But now France-based media and telecoms conglomerate Vivendi has formally confirmed it is in talks to buy a controlling stake in Zain...
Katika pitapita yangu kwenye mtandao nimekutana na taarifa hii ya kuuzwa kwa kampuni ya simu za mkononi ya Kuwait Zain(zamani Celtel) ambayo ni mojawapo ya makampuni makubwa yanayotoa huduma ya...
Maswali ya msingi kabla sijakuelezea makato...
a) Kipi Bora kutoa hela kupitia kwa Wakala, ATM au Ndan ya benk (Over the counter)?
b) Kipi Bora kuangalia salio kupitia kwa Wakala, NMB mobile/CRDB...
Maneno ya huyu mhasibu yamenikera sana.
Bora kuuza Kangala na kufanya biashara.
" Mimi sio kama walimu, mshahara ukitoka siku mbili tu hawana kitu" Mhasibu wa halmshauri yetu.
Mbaya zaidi...
Wakuu vipi?
Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje?
Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
Mim ni mfabiashara ya duka la rejareja naomba msaada wenu maduka yamekua mengi miaka miwili naishia kupata pango pekee hivyo naombeni msaada wenu nyinyi wataalam wa bashara mnisaidie nifanye...
Mashirika mengi yasiyo ya kiserikali yaani, “Non-Governmnetal Organizations” yanapokea ruzuku kutoka kwenye vyanzo vikuu vitatu, ambavyo ni; 1) Taasisi za ufadhili yaani “funding...
Jitihada zako ndio zitakupa faida kama zilivyowafaidisha waliokuwa na Dogs coin Airdrop
Link hizo hapo chini click then start anza kukusanya coin
https://t.me/major/start?startapp=474175254...
Habari wakuu,
Nilikuwa naomba kujuzwa wapi nitapata furniture za nyumbani kama sofa sets, dinning table, coffee table na tv showcase kwei ya kizalendo. Najua huku kuna watu washanunua hivi vitu...
Salaam:
Sasa hii mada sijui niwekeje lakini, juzi kati nilikuta kipindi ndio kinaishia niliwaona tu kina Gerald hando na wengine wanatuonyesha chumba cha kuvunia mbegu za kiume, kwa uchache...
We are dedicated to delivering top-tier mobile app and website design services that set you apart in the digital landscape.
Our approach blends creativity with technology, ensuring that each...
Hivi wadau mfano umepata goli sehemu ambapo biashara haiendi na umelipia ndani ya wiki moja ni sahihi kuhama yaani wiki nzima hujauza na kodi umelipia miezi 4 na huku wenzako wanauza balaa,na...
Habarini wanajamvi,
Mimi ni kijana ambae nimeingia kwenye biashara ya Barbershop (haijakamilisha mwezi lakini inaniumiza kichwa) biashara ipo Mbeya.
Naombeni ushauri jinsi ya kusimamia ili...
Huwa kuna vijana wafanyabiashara wanapata upepo mkali wa pesa uelekeo wao wakiwa wadogo kwenye rika la 20s - 30s za mwanzo, Ghafla kuna kipindi inatokea biashara zinayumba nao huanza kudondoka...
Wakuu,,.hawa ndugu zetu ambao wanaendesha bodaboda hali ya kuwa umri wao kidogo umesogea huwa wanakuwaga na ka ukoloni flani hivi.
Leo nikiwa nimetokea kigamboni,niliposhuka na pantoni pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.