N:B: Lazima uwe na ujuzi au maarifa ya kutatua shida, sio kuminya tu simu.
Tafuta ujuzi au maarifa ya kumtatulia mtu shida kwa uhakika na uaminifu. mfano mimi hii ni kazi part time, najihusisha...
Habarini Wadau?
Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie...
“NI MARUFUKU BIASHARA YEYOTE YA MADINI KUFANYIKA MAJUMBANI WILAYANI TUNDURU – WAZIRI MAVUNDE”
Apiga marufuku wageni kwenda kununua madini machimboni
Aweka jiwe la msingi la ujenzi wa soko la...
Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel
Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
Habarini wakuu,
Katika kujitafuta nimefanikiwa kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.Nilikua naomba kama kuna mtu ana eneo sehem yenye mzunguko wa watu wengi au kama kulikua na mashine...
Habari wana jamvi.
Kisiwa cha Mafia ni mojawapo ya wilaya zinazounda mkoa wa Pwani.
Kutokana na aina ya wakazi wa kisiwa hiki kuegemea sana kwenye shughuli kuu ya uvuvi na kilimo cha nazi...
Habarini za muda huu ndugu Watanzania.
Naomba kujuzwa ni wapi wananunua chenga za mchele kwa hapa Dar es salaam.
Kwa wale mnaojua chenga za mchele ni wapi zinanunuliwa zinazotokea mikoa mbali...
Kwa namna maarifa yanavyozidi kuongezeka kuna bidhaa nyingi zinaweza tengenezwa ukiwa nyumbani tu kikubwa ujikusanyie malighafi Kwanza. Mimi binafsi nmejifunza vitu vingi na nisingependa kuwa...
Rafiki yangu mpendwa,
Inapokuja kwenye fedha, watu wamehangaishwa na mambo mengi ambayo yamekuwa hayafanyi kazi.
Kumekuwa na njia nyingi za mkato zinazowaahidi watu utajiri wa haraka tena bila...
Wadau hamjamboni nyote?
Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam.
Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni...
💼 MHADHARA WA 11:
Hakikisha uzito wa VICOBA/au MICHEZO YA KUPEANA HELA unayocheza usizidi Mzani wa MFUKO (UCHUMI) wako. Kwa mfano upo kwenye uanachama wa VIKUNDI VYA MICHEZO YA KUPEANA HELA au...
Habari wanajamvi,
Kwanini waotokea mikoa ya Arusha, Njombe, Iringa, Kilimanjaro wanakuwa fiti kifedha na kibiashara hata kama ni vijana wa umri mdogo?
Natumai nitapata majibu ya kuridhisha.
Habari natumaini wakongwe mko vizuri
Nina mpango wa kuanzisha kampuni ya usafirishaji nikiwa na mpango wa kusafirisha mizigo kutoka nchini kwenda nchi jirani kwa maana DRC, Zambia, Burundi...
Wakuu, wale wenyewe experience ya aina hizi mbili za businesses ipi inaweza ikaleta manufaa kwangu? NB mi mwenyewe ni fundi ila nitakua sikai mimi labda mi nitakua nakaa kuanzia jioni. Sababu nina...
Ndugu wateja tumefungua BRIGHT CANDLES FUNERAL SERVICES Sinza karibu na Kitambaa cheupe bar.
Gari kali Mercedes Benz c200, 220, Jeep Grand Cherokee, Land rover Discovery 4, Alphard, Noah na...
1.Fungua youtube channel
-Hapa focus kwene kipaji chako, waonyeshe au waambie watu kuhusu kipaji chako.
Kama n mbea pia uwe unaongelea watu maarufu
2.Uza vitu/bidhaa
-Kam huna mtaji anza kuuza...
Kuna wakati nilikuwa z'bar nikaenda kwenye hoteli moja ya kitalii, nilikuta watu wakishusha mizigo kwenye gari moja kubwa hapo hotelini, moja ya mizigo hiyo ilikuwa ni mayai na vinywaji vikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.