Ni Biashara ipi inayopatikana kariakoo ina faida kubwa kwa mfanyabiashara mdogo mwenye mtaji mdogo?
Mtaji wa laki moja hadi laki tano.
Na ieleweke sio lazima biashara ya kuuza iwe kariakoo...
1) Nina Epson Styplus Photo PX660 nauza iko Arusha. Namuhitaji mnunuzi wa haraka
2) Ninauza pia Photocopier ya Canon IR2202
Zote mbili hazijatumika sana
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza
Mikoa yenye wachawi...
Habari. Nina wazo la biashara inahusisha zaidi kugawa huduma ya internet kwa wananchi kwa ghalama nafuu. Hii itawagusa wote wa chini na wafanya biashara.
Nahitaji mtu mwenye mtaji na uzoefu...
Kuna wakati inatupasa kuendelea kujifunza na kuhimizana kuhusu USHAURI KITAALAMU. Katika jamii ya Watanzania na duniani kote, kuna watu wamejikita katika weledi na pia wenye vipaji fulani. Wengine...
Mambo vipi wadau, huu mchongo hapa chini naona unasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii nikaona niulete humu tuujadili kama una uhalisia wowote, karibuni kwa maoni.
*************************
Kwa...
Wakuu msaada kwa wale wabobevu wa uchumi kipi sahihi hapo kupangisha sehem frem penye watu sio wengi na bei 30 elf wakati huo huo kwa sh elf 50 eneo populated.
Asanteni.
Habari zenu jamani.
Kwanza nikiri kwamba naandika post hii huku kichwa kinaniuma. Toka nimepata hii pesa (600k nimeuza mali, 400k nimekopa) nimeumiza sana kichwa biashara gani ntafanya ili...
Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Tumenunua Bajaji 5 mwaka 2021.
Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji...
Sina budi kumshukuru muumba kwa kutupatia neema zote kubwa kwa ndogo ndogo
Naomba nisikuchoshe mdau katika jukwaa hili tuende moja kwa moja kwenye kusudio husika la uzi huu
Iko hivi miezi...
Binance ni exchange number 1 Duniani nayo wamekuja na airdrops kwa Jina la Moonbix
Hii ni rahisi na tutaunda $1000 kirahisi zaidi.
Inakuchukua sekunde 11 kujoin n kuwa rewarded...
Habari za Mchana wana JF,
Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business.
WADAU...
Habari hili ndo chapisho langu la Kwanza kuandika ndani ya jamii forums na nimeona niandike ili kuwazindua vijana wenzangu kuhusu utapeli unaondelezwa na vijana wanaojifanya wanafanya forex nchini...
Wahi offer
Laini za wakala zimebaki mbili ni full documented na tunaandikishana, ikiwezekana twende kuchange usajili
Imebaki Halo pesa na Airtel money,
Zote nataka 90K
Karibu Dm
Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho.
Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia...
Habari?
Nina milion2 kama kianzio naona nitafute bajaji ya mkopo, vipi inawezekana na inautaratibu upi?
Hii pesa nimekosa wazo zuri la biashara naona itaisha tu.
Au kama kuna mtu ana wazo zuri...
Awali ya yote Napenda Kushukuru na Kupongeza Jukwaa kwa Mawazo Elekezi.
Naomba nielimishwe/nijulishwe juu ya Biashara ya Stationaries kwa ujumla, (Uuzaji wa Tonner, Karatasi, madaftari, peni...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mussa Mbura amezungumzia mafanikio ya Viwanja vya Ndege nchini katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.