Wakuu wenzetu Hela wanapatia wapi Hadi kutajirika ndani miaka michache wanashusha makontena 40ft..uku wangine biashara hizo hizo miaka na miaka hazikui
Habari
Laptop kali sana hii ni mpya kabisa,inakaa na charger siku 2 kutegemeana na matumizi yako, hii inafaa kwa wale wa video production,graphic,music production na ma engineer woe wa mijengo...
Mnamo September 6 niliandika Uzi uliohusu Hali ya biashara yangu kukosa wateja, nilipokea maoni mbalimbali kwenye Uzi na PM pia (Nawashukuruni nyote kwa maoni yenu na ushauri )
Miongoni mwa PM...
Habari wanaJF,
Ni mimi tena, na natumaini kuwa upo vizuri unaposoma maneno haya. Leo imekuwa siku ya Idd kwa ndugu zangu waislamu, na wasabato fulani wapo kwenye msimu wa makambi. Yote mema...
Business idea hii itabase kwenye moja ya sehemu yenye idadi kubwa ya watu ukiacha mziki nayo si nyingine ni Soka(Mpira wa Miguu). Soka letu linakua kiasi sasa ni muda wa kutumia fursa mbalimbali...
Habari wakuu
Baada ya uzi wangu wa utafiti ambao ulifutwa sasa nimekuja na uzi mpya
Katika pitapita zangu za amazon nikakutana na uwezo wa kucreate seller acount ambayo unaweza ukachukua plan ya...
Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Amani iendeleee wananchi .
Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda...
Wadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadhali za kuchukua dhidi ya...
Habari za mchana wakuu, mimi kazi yangu ni kuwasogezea michongo ya online ya kuingiza pesa.
Kuna huu mchongo rahisi kabisa unaokupa $1 kila siku kwa simu yako na internet yako bila hata ya...
Tatizo kubwa kwa sisi wanavyuo hatuwazi nje ya box,kila mtu akipata vilaki kadhaa(mwanachuo) anakimbilia kufungua banda la chipsi.OK fine malengo yako baada ya hilo banda?.
Ok Mimi ni mwanachuo...
AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA - LINDI
Waziri Mavunde akabidhiwa hati ya eneo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chumvi
Aipongeza STAMICO kwa utekelezaji wa...
Habari Wakuu,
Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri...
Utangulizi.
Kutoka kwa mwanafunzi na mjasiliamali mimi ni mwanafunzi katika ngazi ya elimu ya juu mwaka wa pili hapa dar,nikichukua shahada ya teknolojia habari na mawasiliano{ICT} mwaka jana...
HABARI JAMII FORUM
--Gari aina ya Isuzu Journey inauzwa na Benki kwa njia ya Mnada.
--Sababu ya kuuza ni, mdaiwa ameshindwa kurudisha mkopo katika muda aliopangiwa hivyo mali zake zimekamatwa...
Ningependa kujua biashara ya vyuma chakavu imekaaje,.. Kuanzia mtaji wa kuanza biashara hii, changamoto zake, namna ya kuRUN and everything guys,... Nasubiria comments zenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.