WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA MANUNUZI YA BIDHAA YA TRILIONI 3.1 MIGODINI
-Azindua rasmi Chama cha Watoa Huduma na Wauzaji wa Bidhaa Migodini
-Afurahishwa na Watanzania...
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde akizungumza wakati akizindua chama cha Wasambazaji wa Sekta ya Madini Tanzania (TAMISA) jiji Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wasambazaji wa Sekta ya...
Dar es Salaam: Benki ya Exim Tanzania imehitimisha rasmi kwa mafanikio kampeni yake ya Kidijitali ya miezi mitatu iliyojulikana kama Tap Tap Utoboe, huku ikitangaza washindi wa droo kuu ya mwisho...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Client wetu ana omba ushauri jinsi ya kumuondoa mpagaji wake wa majengo yake ya hospitali, alisha wapa samasi ya miezi miwili kuondoka ila bado hawataki kuondoka na pesa hawalipi
Anaomba ushauri...
Habari za asubuhi ndugu,
Nawiwa kuanzisha biashara ya super market naomba kufahamu kwa wale ambao wamewahi kufanya biashara hii natakiwa kuzingatia nini na nini?
Ni vitu gani havipaswi...
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa.
Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es...
Katika ukuaji wetu wanadamu tunakua na ndoto na matamanio mbali mbali kama gari ya ndoto, nyumba ya ndoto etc, hata kama tupo kwenye hatua ambayo haikupi harufu yakuweza yafikia mambo Yale...
Wakuu, naombeni ushauri tafadhari.
Nahitaji ushauri kwenye hizi 'side hustle'
Fenesi la kukata na kufunga kwenye makopo au miwa ya kufunga kwenye mifuko.
Ipi inatoka kwa haraka.
Asanteni sana...
Wenye kuwekeza uzoefu na ujuzi kwenye real estate bussiness ni kweli 60m naweza kujenga rentals za kunipa 2m per months kama kodi, kiwanja kipo dar es salam maeneo ya Goba.
Nijengo la aina gani...
Salute bosses!
Kwanza kabisa naomba nianze kwakusema kumradhi nimechelewa kuanzisha thread hii kama nilivyoombwa na baadhi ya watu hapa JF.
Nilikuwa busy na majukumu sasa nikasema nikitulia...
Habari Wakuu, Maelezo mengi yatawachosha.
Nilianza Biashara 2019, ya umachinga nikawa nachukua bidhaa mjini napeleka vijijini, Biashara ilikubali nilikuwa napiga profit nzuri sana kwa siku...
Wakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa.
Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh...
Karin Rådström, currently responsible for Mercedes-Benz Trucks, will become the new CEO of Daimler Truck from 1 October. She takes over the position from Martin Daum and will head the world's...
Good wish to all
Moja ya definition ya maisha ni mapambano na moja ya definition ya mafanikio ni ushindi,
Nilikuwa natafakari kitu nikasema ngoja nishare na home of great thinker. Dunia ya sasa...
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk.Selemani Jafo amesema Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi ya kufanyia biashara kwa kufanya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kuboresha miundombinu mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.