Kuna njia kuu tatu tu za kuua ushindani kwenye biashara yako
Moja kuwa bidhaa ya bei nafuu kuliko zote sokoni ....
Mpaka sasa sijui ni mbinu gani bora ya kupambana na bei sokoni
Mtu akikushinda...
Mfano imagine huyo jamaa tunakuja kumuuzia sisi ,hivi unadhani akiuxa kwa bei ya chini faida yake ikowapi?
Ili akitaka kuuza kwa bei nafuu kama hiyo ya chini ni bora kupiga 0769927039
Iphone new...
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja?
Hili swali najiulizaga sana, nimekuta...
Biashara ina mambo mengi sana, katika biashara yangu leo asubuhi mbele ya malango nimekuta manyonya ya kuku, kichwa cha paka, kucha za binadamu na damu.
Hii hatari sana.
Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu.
Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu
Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili...
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Mambo yamenikaba na kimfaacho mtu chake.
Nauza laptop yenye specifications zifuatazo.
Model: Lenovo T480s
Processor type: intel core i5-8350U (8th...
Nyumba inauzwa ipo madale mil 70, Kwa Kawawa,
Ipo umbali wa km 1 kutoka barabara lami,
Kiwanja kina Sam 650 na kimeshawekwa bikoni,
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master na public toilet 1...
Kampuni inayoongoza kwa teknolojia na mawasiliano nchini Vodacom Tanzania PLC, leo imefanya mkutano mkuu wa mwaka ambapo ripoti jumuishi ya mwaka kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 31 Machi 2024...
HABARI, poleni kwa pilika ya kutwa kutimiza majukumu ya kila siku.
Ndugu zangu naomba kwa anejua taratibu za kuzifuata ili kupata leseni ya biashara na vigezo vyake pia na gharama zake hususani...
Habari Wana Jf,
Ni kampuni gani ya kuaminika inayofanya clearing and forward mzigo kutoka china hadi Arusha yenye bei iliyo rafiki?
Naombeni msaada ikiwezekana na office zao zilipo
Habari za jioni wana-JF,
Natamani kufungua duka la vitambaa lakn changamoto ni kwamba sijajua wapi naweza pata vitambaa kwa bei ya jumla.
Na mtaji wa 5M naweza kufungua biashara hiyo?
Nyumba ipo umbali wa km 1 kutokea Goba centre, ina kiwanja chenye ukubwa wa sqm 462, nyumba ina vyumba 3 vya kulala, sebule 1, dining jiko stoo na vyoo 2
0656077998
Inauzwa 90mil
Hello wana jf
Natumai wote mko poa sana
Naulizia gani hivi hapa dar haina majina makubwa sana kama vile tandika, mbagala, kariakoo nk.
Lakini ina watu wengii na biashara zinafanyika kwa maana...
Salama.. Moja kwa moja kwenye mda, nna pesa moja hapa nahitaji msaada kwa anaejua ni ya Italy inaitwa lire. Nmejaribu ifuatilia kwenye mitandao naona thamani yake ni sawa na EURO, vip kwa hapa...
Mkaa mbadala ni matokeo ya teknolojia mpya na rahisi ya kutengeneza mkaa tofauti na aina ya mkaa wa kawaida uliozoeleka.
Wadau, naomba kufahamu huu mkaa mbadala huwa unauzwa wapi?
Heshima kwenu wakuu!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kufungua kampuni ya ya ujenzi, nataka kufanya both building & civil works, naomba kufahamishwa juu ya mambo makuu mawili,
1...
Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika.
Naomba nianze na Dar es salaam nilipo.
Kivule Sokoni = Kila...
Huyu bwana(30years) alienda China mwaka 2018 kujifunza Kichina ambapo akaona Changamoto na kuigeuza fursa.
-Anamiliki kampuni ya Logistics
-Anamiliki Warehouses
-Anaishi na kuajiri Wachina...
Wadau habar? Nimepata wazo la kufanya bishara ya mchele/mpunga.
Kama kuna mdau humu anaifanya naomba ushauri ;
Je ipi bora zaid
Kununua mpunga kuweka store kisha unauza badae?
Kununua mchele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.