Wasalam wadau,
Naomba mawazo yenu. Binafsi nimekuwa mid town hunter kitambo Sina ujanja wa kutosha kuhusu haso za nje ya Dar, sasa naomba ushauri wenu kuhusu location nzuri ya haso za uhakika nje...
Habari wanajukwaa! Nina shida na cardboard sheet ambayo ndizo zinatumika kutengeneza mabox. Wapi naweza kupata Kwa Tanzania hii na bei zake zipoje. Kwa yeyote mwenye taarifa tusaidiane.
Wakuu habari zenu?
Naomba kujulishwa Chimbo la Simu Used na Mpya na Accessories nzuri kwa bei ya jumla kariakoo nimechoka kulanguliwa na kuuziwa mali zisizo na uhakika.
Natanguliza shukrani.
Hello Wanajamvi……
Nimekuwa na jitihada za kufungua biashara ya bucha la kisasa la samaki ambalo ndani yake kutakuwa na duka dogo la Cash-point (mobile money & internet banking), nje mitungi ya...
Habarini niende kwenye mada moja kwa moja uzi huu ni kwa ajili ya wafanyabiashara walionza kwa mitaji midogo na mpaka sasa wamefanikiwa naomba mtupe ilikuaje abc za aina za biashara mlizoanza nazo...
Nimepatwa Shida, Bei imenishuka. Natengeneza website kwa Tsh 150,000 tu. Itatumia CMS ya WordPress. Malipo ni baada ya kazi. Work Delivery ni ndani ya masaa 24. Serious customers tu Jamani 🙏...
Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa.
Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na...
Wakuu nataka kufanya biashara mbili kati ya hizi niwe na fusso tipa la kubebea mchanga, kokoto, vifusi na n.k au niwe na coaster kwa ajili ya kubebea abiria kutoka wilaya moja kwenda nyingine au...
Juzi katika kikao kimoja hoteli kubwa nchini nikakutana na mfanyabiashara mkubwa, nikamwambia mwanangu mbona hauongezi wigo wa biashara yako, akanijibu Tanzania haina biashara halali na...
Wakuu kwanza habari ya asubuhi.
Nije moja kwa moja kwenye mada nilikuwa na pesa kidogo lakini kwa sababu ya kuwa busy na shughuli nyingine nikawa naonelea kwa nini nisiwakopeshe wanawake...
Karibu Tunapatikana Ilala Amana Karibia na Hospital Ya amana.
Wakazi wa dsm tunaweza kukufata wa mikoani unatuma kwetu.
Malipo Baada ya Kazi.
0715331233
Piga au sms au whatsapp
Forbes Money Personal Finance
Is College Still Worth It? Here’s 5 Alternatives To Financial Success
Sep 5, 2024,02:00 am EDT
Updated Sep 5, 2024, 02:39 am EDT
A college degree may not be the only...
Nina refinery ndogo ambayo ina uwezo kufanya refining mafuta ya kupikia kama alizeti, soya, mawese nk na kuyaboresha zaidi katika viwango vilivyoidhinishwa na TBS.
Nipo Mbeya na mwekezaji...
Wadau wa Jamiiforums mnipe MBINU na njia sahihi ya uendeshaji wa Microfinance. Eli Mimi na wateja wangu wote tufaidike, wao wapate mkopi nafuu wenye kutimiza malengo yao, na Mimi nipate japo...
Kama kichwa Cha habari hapo juu. Ni kwamba niko katika eneo/wilaya ambayo kwa asilimia zaidi ya 85, watengenezaji na wasambazaji wa hiyo bidhaa ni kutoka katika viwanda vya mjini.
Fursa naiona...
Habari ya jioni wakuu.
Natarajia kufungua guest house soon hivyo kuna vitu vingi kuhusu hii biashara nahitaji kuvijua..
Kwenye lodge nyingi ukiingia huwa unakuta wamebandika kikaratasi chenye...
Ndugu wananchi, wanabodi na great thinkers wa humu JF Salaam !!
Tayari mwaka 2023 umeanza kwa kasi na kama ilivyo ada tumeendelea na pilika pilika za kusaka maisha kona mbali mbali.
Katika...
Wasakatonge wenzangu kama mjuavyo Mimi Huwa napenda kufanya vitu ambavyo vinaweza kuacha alama kwenye jamii, japo sijabahatika kuwa miongoni mwa watoa maamuzi muhimu wa Taifa, ila amini nakwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.