Tanzania, 10 Septemba 2024. Mradi wa Ubunifu wa FUNGUO unaotekelezwa na UNDP hapa Tanzania kwa ufadhili wa na Umoja wa Ulaya na mfuko waIMBEJU wa CRDB Bank Foundation, imeamua kushirikiana ili...
Habari? pole kwa kazi yakujenga taifa.
Kama kichwa kinavyojieleza, zifuatazo ni fursa mbalimbali, katika nyanja mbalimbali pia Waweza ongezea fursa uzionazo mahali ulipo? sharing is caring
FURSA...
Muhtasari. Kongamano hilo lenye kaulimbiu isemayo "Ushirikiano wa Kibunifu katika Nishati safi ya kupikia, Endelevu na mustakabali wa Kijani," litafanyika kwa siku tatu kuanzia Oktoba 16 hadi 18...
Wimbi la vijana kupenda kuishi mijini hasa kwenye miji mikubwa lipo Duniani kote na hii ni kutokana na ukweli kuwa mijini kuna fursa nyingi zinazofanya matajiri wengi kutengenezwa huko.
Pamoja na...
Mwez ujao kuna rafiki yangu anataka kufungua kijiduka cha mtaaji wa laki 8 vip TRA hawatamsumbua? Na kama watamsumbua ili kuepuka afanye nini? Kuepuka? Au kitambulisho cha mjasiriamali vip?
Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (Kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa mshindi wa mwezi wa kampeni ya Ni Balaa! Amina Gwila mwanafunzi wa Chuo...
Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku.
Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex)...
Siku ya jana wakati naperuzi jf niliona kuna mdau anauliza kama kuna bloggers hapa bongo wanapiga zaidi ya milioni, ni swali lililonikumbusha mbali sana.
2020 kuna rafiki yangu anaefanyia kazi...
Hela wakuu ngumu sana!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo...
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
Jamani habari zenu wadau?
Mimi nimeweza kutengeneza faida kwenye hii biashara lakini naona kuna Namna ntafeli wakati wa kuwithdraw. Najua mtaniambia kuwa kwa nini sikuwaza hilo kabla ya kuanza...
Wakuu habari za weekend,
Samahani kwa nitakae mkwaza namna yoyote ile. Wakubwa kama mnavyoja dunia ya sasa yataka kupambana kweli kweli. Sasa mwenzenu nimechoka na haka kamshahara ka laki na nusu...
Wana JF habari za majukumu?
Kati mada ilivyo hapo juu hivi. Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku?
Mchango wako ni muhimu kwangu.
Mara nyingi najiuliza hili swali hivi sisi hapa Tanzania ni bidhaa gani tunaweza kuuza nje ya nchi ukiondoa biashara ya Ng'ombe,Mbuzi, Vitunguu tunavyopeleka Comoro? Kuna nchi wachovu tu kama sisi...
Wadau mimi niliamua kujiajiri rasmi mwaka jana na nikasajili kampuni ya usafi, real estate na usambazaji mwaka huo huo 2023 Aprili. Nilianza hizi harakati tangu nikiwa ajirani nikaandaa ofisi...
Muda huu nipo Mwanza Nyamagana, huku bei ni elfu 2 kwa lita maziwa fresh. Je wewe uko ulipo lita ni bei gani. Sio mbaya kama ukiwa mahususi kwa kutaja mkoa, wilaya hata kata kama ikiwezekana.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.