Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo.
Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa...
Habari za huku wakuu kuna mdau huku aliwahi agiza bidhaa na mzalendo cargo nataka kuagiza godoro nauliza ili nijue ubora maana bei zao ni za kizalendo kweli kweli
Nimepata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini Dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili...
MRADI WA KABANGA NICKEL WAVUTIA UWEKEZAJI MKUBWA KUTOKA KAMPUNI ZA AUSTRALIA
-Jumla ya Dola Bilioni 2.2 kutumika kuendeleza Mradi
-Waziri Mavunde atembelea kiwanda cha kusafisha Madini kama...
Habari wana jukwaa wenzangu karibuni na msome makala yangu
Tuangalie biashara 5 za mtaji mdogo usiozidi Tshs. 100,000 unazoweza kufanya na zenye faida kubwa. Mtaji mkubwa unaohitajika...
Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?
Michango yenu nitaishukuru sana tu.
Maisha ya utumishi ni mafupi hivyo ni heri kujiandaa na maisha ya kustaafu mapema.
Kipato vya wafanyakazi wengi ni kidogo sana hivyo kuna ulazima kuwa na kipato cha ziada.
Changamoto ya...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Habari wanaJF.
Kwa wenye uhitaji wa mafundi friji na friza,halikadhalika kufunga AC na kutengeneza AC pindi ziletapo changamoto, karibuni Seneta Electrical & Cooling system workshop iliyopo...
Habar wakuu
Juzi hapa nimefungua paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.
Je...
Hi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi. Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi.
Hatimae gari...
wengi wao huishi ifuatavyo:
Ofisini jumatatu hadi jumamosi kuondoka majumbani alfajiri kurudi usiku, kukosa muda wa kuspend na familia
likizo pekee ni Christmas, Pasaka au Idi
wakiumwa biashara...
Habari za muda huu wapendwa,
Nalipanda jukwaa la JamiiForums kwa kutaka kunena na wafanyabiashara wa hardware, kama kichwa kinavyosema hapo.
Ninatoa huduma za kuagiza cement aina ya Bamburi na...
Moja kwa moja kwenye mada,
Mwezi June nilipokea sms kuwa kuna jamaayangu kaniweka kama mtu wake wa karibu na amekopa pesa ameshindwa kurejesha. Nilishtuka sana, nikapiga kujua ni milioni ngapi...
Salaam,
Wakuu, naomba muongozo wa uzoefu kwenu.
Soko lipi nitapata bidhaa kama Mihogi, Viazi(vya aina zote ), Magimbi......etc.
Vipimo vikoje kwa kila zao.
NB; Nahitaji kwa ajiri ya kuuza...
Habari!
Nina mahindi gunia 25 za mahindi, zipo mbinga, Ruvuma. Kwa sasa bei sokoni ipoje? Au naweza kupata makampuni ili kuwauzia mzigo wote kwa pamoja? Au naomba ushauri, niuze kwa namna gani?
Habari za hapa wana jamii,
Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko 🇰🇪 Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana 🇧🇼...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.