Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Jamani haya matangazo ya Laptop na Tablet ni mimi tu nayaona au Bongo biashara inayalipa wiki mbili hizi ni Laptop za Hp[emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
2 Replies
446 Views
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania...
1 Reactions
1 Replies
143 Views
Habari ya majukum wakuu?. Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki? Kinauzwaje? Mi napatikana Iringa
1 Reactions
1 Replies
213 Views
habari wakuu! katika mitego yangu ya hapa na pale nmenasa mkwanja kama mil 15 na laki saba lakini sina uzoefu na biashara! naombeni mawazo nifanye biashara gani ambayo inaweza nitoa nipo...
4 Reactions
129 Replies
27K Views
Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu! Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kununua betri ya mashine kama hii ya Selcom
0 Reactions
2 Replies
426 Views
Wazoefu wa hii biashara naomba ufafanuzi; Niandae bajeti ya Tsh ngapi kwa ajili ya hii biashara mchanganuo wa bei ya machine na Vitu vingine vinavyohitajika. Location nzuri iweje Mambo gani ya...
3 Reactions
4 Replies
971 Views
Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications...
3 Reactions
68 Replies
17K Views
BIASHARA YA MTUMBA Mtumba ni biashara ambayo wengi wanaipuuzia sana lakini ni kati ya n biashara zenye faida sana hasa ukiwa makini Mfano unaweza ukanunua nguo kwa kupoint 500 ukifua ukaja kuiuza...
15 Reactions
24 Replies
13K Views
TRA yashiriki MOI Marathon 2024 kwa lengo la kuchangia matibabu ya magonjwa sugu pamoja na kutoa msukumo kwa watumishi wa Hospitali hiyo kufanya mazoezi ili kujiepusha na magomjwa yasioambukiza ...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Katika mambo yanayokera,kutia hasira na kutia kinyaa ndo haya Tanzania asilimia kubwa ya bidhaa tuna-import nje (kununua nje ya nchi) sasa hili swala la dola kupanda dhidi ya shilingi kunazidisha...
8 Reactions
129 Replies
21K Views
Salaam wafanyabiashara wenzangu. Wakuu mimi ni mfanyabiashara kwenye Kilimo (Agribusiness). Nataka kujiingiza kwenye biashara ya Zao la Tumbaku. Toka mwaka jana nimeona kuanza kushamiri kwa...
1 Reactions
2 Replies
725 Views
Jamani kwa anayejua mambo ya riba naomba anijuze
1 Reactions
17 Replies
10K Views
Nilienda ABC bank kuwauliza kama nawezafanya online transanctions kupitia akaunt ya ABC bank, wakaniambia ndio naweza na kad zao znakubalika popote pale duniani. Sasa tatzo linapokuja kwa hiz...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Nawatafuta NMB, nilishawahi kuona uzi wao humu lakini sijui ulipo sasa. Mashine za uwakala za NMB (POS) moja inauzwa TZS 1,106,000/= (Milioni moja laki moja na elfu sita). Ajabu ni kwamba, pamoja...
9 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu zangu. Naombeni kwa anayefahamu chochote kuhusu biashara hii ya shule za watoto wadogo anipe muongozo japo kwa uchache kwa kuzangatia yafuatayo: 1. Utaratibu wa usajili wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana...
0 Reactions
17 Replies
425 Views
Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
1 Reactions
6 Replies
414 Views
Kama ujumbe unavyojieleza natafuta mtu mwenye wazo la biashara ya kuagiza magari mtandaon
0 Reactions
5 Replies
342 Views
Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG. Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi yenye makao yake Makuu Mjini Babati Mkoani Manyara imepewa tuzo ya maalumu kutoka Chuo...
0 Reactions
3 Replies
267 Views
Back
Top Bottom