Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Dar es Salaam, 30 Agosti 2024 – Taasisi ya CRDB Bank Foundation imezindua rasmi kampeni maalum ya IMBEJU inayolenga kuwaunganisha vijana na wanawake wajasiriamali nchini na programu ya IMBEJU...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Habari ya majukum wakuu? Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki? Kinaitwa TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER Kinauzwaje? Mi napatikana Iringa
1 Reactions
8 Replies
384 Views
Wakuu napangisha frame yangu kariakoo iko mtaa wa Masasi jirani na hii barabara kuu ya Msimbazi na jirani na kituo cha mwendokasi cha Msimbazi.Inafaa kwa Simu, Vifaa vya Simu au Ufundi wa Simu...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari wakuu. Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali...
3 Reactions
8 Replies
515 Views
Ndg zangu, Naombeni mnifahamishe taasisi znatoa mkopo wa haraka kwa riba nafuu. Nina kazi yangu nahtaj cash ya haraka ambayo naeza rudsha within a month.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, naomba kujua wapi zinapatikana apple (matunda) kwa bei ya jumla hapa Dar? Haya wanayouza buku buku reja reja? Na bei yake ikoje?
3 Reactions
3 Replies
545 Views
Habari zenu wakubwa, Natafuta ni wapi naweza pata roller blades (viatu vya matair) za kununua either dukani au kama kuna mtu anacho na anakiuza tunaweza fanya biashara Mimi nipo mwanza kama kuna...
2 Reactions
8 Replies
368 Views
Hii wachumi tunaomba mtupe shule kidogo, zipi athari zake kiuchumi kwa maisha ya mtanzania? Ukosefu wa ajira na matatizo ya kiuchumi vijana tutachomoka?
5 Reactions
31 Replies
840 Views
ZAIDI YA MILION 900 ZAKUSANYWA WILAYANI KAKONKO KATIKA SEKTA YA MADINI Imeelezwa kuwa, katika kipindi cha kuanzia Mwaka 2019 hadi 2023 jumla ya shilingi 924,685,884 zilikusanywa kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Hili zao linasemekana lina patikana sana katika mikoa ya Tabora haswa Mpanda mpaka Kigoma, ni bei gani kwa Kilo au kwa gunia?
0 Reactions
2 Replies
135 Views
Habari wana jamvi. Kuna duka naliuza liko Mwanza Nyasaka. Ni duka la urembo lina vipodozi,nguo,mikoba na viatu. Naliuza milioni 2.5 tu na kodi yake inaenda hadi January 2025. Kwaiyo ukinunua wewe...
2 Reactions
9 Replies
574 Views
Habari zenu wana jamvi, Hii biashara ya daladala hapa mjini(Dar) imekaaje. Waungwana naombeni mshee mawazo yenu haswa mnaojihusish nayo. Faida na hasara Pia per day tajiri anapewa ngapi?
2 Reactions
4 Replies
368 Views
Habari zenu wana jamvi, Hii biashara ya daladala hapa mjini(Dar) imekaaje. Waungwana naombeni mshee mawazo yenu haswa mnaojihusish nayo. Faida na hasara Pia per day tajiri anapewa ngapi?
2 Reactions
1 Replies
169 Views
ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA)...
1 Reactions
0 Replies
167 Views
Nimeuliza tu kama naweza kujikwamua kiuchumi kwa KUBET? 2025
5 Reactions
31 Replies
765 Views
Habari wakuu, hapa price itashuka au itaendelea kwenda juu, I have made my own analysis but I just wanna here what do you see hii ni USDCAD, na ni 1H time frame!
1 Reactions
12 Replies
634 Views
Habarini watanzania wenzangu, Naomba kupata uzoefu wenu ambao mmewahi kusafirisha mizigo yenu mliyonunua mtandaoni hususani Alibaba kwa kutumia DHL Express, gharama zao zikoje kwa 1kg, na pia...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wakuu nimerudi kwenu kutaka msaada kwa anaejua mahala kilipo kiwanda Cha cello plastic, kipo Dar sehemu gani?
3 Reactions
14 Replies
943 Views
Habari wadau. Tafadhali naomba msaada wa ni wapi naweza pata vifungashio au kwa lugha ya take away za glass kwa bei ya jumla ambazo ni imara kidogo za kuuzia juice. Note: sio vile vifungashio...
1 Reactions
2 Replies
590 Views
Back
Top Bottom