Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za kazi? Naweza kupata estimates za kuvuna na kuhifadhi maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani? Mwenye ufahamu, tafadhali naomba msaada.
3 Reactions
27 Replies
17K Views
ESTHER MALLEKO AMUULIZA SWALI WAZIRI MKUU, WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO KWA HALMASHAURI ZOTE NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 29 Agosti, 2024...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Habari? Jaman tupeane michongo ya mitaji. Mimi Nina laini zote za uwakala lakin Sina pesa ya mtaji kuanza biashara hiyo. Je wapi nàweza kupata hata mkopo wa milioni moja nianze kidogo kidogo...
6 Reactions
23 Replies
906 Views
Msaada tutani ni vibali vipi vinahitajika endapo mtu anataka ku launch app Tanzania? Utahitaji vibali vyovyote kutoka mamlaka nchini? Kwa ambao wamefanikiwa kupandisha app zao playstore/app...
0 Reactions
5 Replies
192 Views
Habarini jamani, Naomba kujua kero mnazopata wafanya biashara na wanunuaji. Nafanya utafiti tu ili niweze kujua shida kubwa hasa ni nini kwa pande zote mbili. Kwa mwenye mda anaweza...
4 Reactions
18 Replies
295 Views
Hivi Wadau haka kaupepo kwenye biashara ni mimi tu ama na kwa Wengine, Hali imekuwa ngumu sana wateja hawaonekani. Mwezi huu tangu uanze hali imekuwa tofauti sana kupita Maelezo, wateja...
16 Reactions
73 Replies
3K Views
Kuna viwanda zaidi ya 3000 eneo la kisarawe two soon vitaanza uzalishaji, Vikindu kuna viwanda zaidi ya 1000 vikiwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi, Kibaha kuna viwanda zaidi ya 500 vikiwa hatua...
2 Reactions
3 Replies
324 Views
Members habari za wakati huu nauliza ni taratibu zipi za kufuata ili kupata leseni ya biashara ya lodge
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako. Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu. Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa. Lakini unatakiwa...
3 Reactions
0 Replies
396 Views
Habari wanajukwaa! Kuna mfumo wa watumishi wa umma unaitwa employee self service ess, kupitia mfumo huo watumishi hawahitaji kubeba nyaraka nyingi ili kukopeshwa mambo yanaishia online...
2 Reactions
9 Replies
786 Views
Dar es Salaam. Tarehe 27 Agosti 2024: VIONGOZI wa dini nchini wameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Akaunti ya Sadaka mahsusi kwa ajili ya taasisi za dini kukusanya sadaka, zaka na michango...
3 Reactions
23 Replies
879 Views
Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021...
0 Reactions
2 Replies
178 Views
Habari za leo wadau, Naomba kuuliza kama kuna usafiri wa tren isiyo kuwa ya umeme kutoka Moshi mpaka dar es salaam, na kama ipo nauli ni kiasi gani??
2 Reactions
27 Replies
789 Views
Habari ya asbuhi wakuu, nimerudi tena tuweze kujadili na kukumbushana machache katika utafutaji wetu huku kwenye 'corporates world'. Kampuni ya udalali na ukusanyaji madeni (auctioneer and debt...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Wakuu ushauri wenu ni muhimu. Ni biashara gani naweza kuifanya nikiwa na kiasi cha tsh million 25? Naamini kwa ushauri wenu na wengine watajifunza kitu hapa. Ahsante.
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Kuenda ulaya ni njia nyingine ya maisha ya kigoma hapa nyumbani ila kumbuka umri mzuri wa kuzamia Ulaya ni 18 to 35......ndo unaweza kuhimili mchaka mchaka ya kuzamia na kujifunza maisha upya...
3 Reactions
7 Replies
534 Views
Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka. Mfano Mahindi [emoji535] kupitia Semi [emoji597] Naomba anisaidie bei au Gharama hizo hupimwa kwa kilo au kwa kila Mzigo wa Gunia moja na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, sorry guy mm nilikuwa nahitaji mtu au sehemu ambayo naweza kupata mkopo wa 100,000 nahitaji kujiajiri mwenyewe nifanye biashara,naomba msaada wenu
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Biashara yangu ndogo bado haijakua kiviile lakini vichange change mkononi haviishi hata kama ni vya rejesho la kila wiki lakini vipo mkononi. Vipi wewe mdau unaipendea nini biashara yako? Au kama...
7 Reactions
32 Replies
902 Views
Back
Top Bottom