Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wakuu. Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na...
4 Reactions
37 Replies
15K Views
YALIYOMO NINI MAANA YA NICHE NA JINSI YA KUTENGENEZA 2 Kwanini sasa tunakuwa tunazungumzia Habari ya niche? 5 MANUFAA MAKUBWA YA KUMILIKI FOLLOWERS WA NICHE FLANI 14 WATU WANAOTAMANI KUJIPATIA...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
UENDELEZAJI WA MRADI WA KABANGA NICKEL WAUNGWA MKONO NA WADAU MBALIMBALI KIMATAIFA - Serikali ya Marekani yaunga mkono uongezaji thamani madini ya Nickel Nchini - Falsafa ya 4R ya Rais Samia...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Samahani ndugu zangu kuna dawa naihitaji lakini kwa hapa Tanzania haipatikani. Nataka kuagiza nje ya nchi kama vile India. Maomba mwenÿe connection na phamacy za India na huwa anaweza kuagiza...
1 Reactions
6 Replies
385 Views
Habari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza...
5 Reactions
24 Replies
752 Views
Kwa nini bei za viwanja vilivyopimwa ziko juu sana nchini Tanzania? Na Thom munkondya. Viwanja vilivyopimwa vinauzwa bei ya juu sana kwasababu upimaji ni gharama sana. Ukiona sehemu viwanja...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako. Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa...
8 Reactions
13 Replies
592 Views
Habari, nanunua google play console yenye zaidi ya mwaka bei 500,000 mpka 1M. ikiwa na live apps +sourcecode& keystore itapendeza zaidi
3 Reactions
9 Replies
598 Views
Msaada nahitaji kuanza biashara ya nguo, viatu pochi na mikoba, ni mikoa na miji ipi yenye mzunguko mzuri wa pesa na inafaa kwa biashara ukiondoa daresalaam? Sent from my SM-J730F using...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari ya wakati huu! Napenda kufahamu mambo machache juu ya uendeshaji wa shule ya chekechea (elimu ya awali). Napenda kufahamu juu ya gharama za ujenzi wa madarasa matatu yaliyoungana pamoja na...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Madereva wa Bolt wote hapa Tanzania kuna haja ya kuunda umoja wetu ili nasi kwa pamoja tusikilizwe changamoto zetu maana changamoto tunazopitia ni nyingi ila tunashindwa kupewa kipaumbele...
4 Reactions
17 Replies
925 Views
Habari wana jamvi Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24. Sasa nimeamua kuanza kilimo baada ya changamoto nilizikumbana nazo baada ya kutoka chuoni. Nimeandaa shamba la hekar tatu ambalo lina...
24 Reactions
148 Replies
18K Views
Wakuu habarini Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
2 Reactions
2 Replies
587 Views
Nisiwachoshe wakuu nipo dsm, Kwa kazi za kila aina ya fenicha bora unaweza kuniona wakati wowote...
2 Reactions
23 Replies
652 Views
Habarini za Asubuhi wakuu. Nimewaletea mzigo huu kwenu Pikipiki TVS inauzwa, ina miezi 5 tu tangu inunuliwe. Ni yakwangu mwenyewe haijatumika sana. Model: TVS 125 Plate number: DQF Bei yake...
2 Reactions
4 Replies
603 Views
Wakubwa kwa mtu mwenye mtaji wa milion 10 biashara ipi ni ya uhakika Dar, 1. Uuzaji nguo, 2.uwakala(mpesa,tigo,banks), 3.usafirishaji abiria kwa bajaji
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Tigo na Halotel bundles Tu #0658204909
5 Reactions
19 Replies
728 Views
Habari wana JF, Naomba kuuliza wapi nitapata viti hivi hapa Dar. Natanguliza shukrani.
5 Reactions
4 Replies
293 Views
Habari wana jf tupeane machimbo ya mchele wa bei nzuri ya chini Hapa mbeya mjini kuanzia 1200 kuendelea Kwa ubaruku kuanzia 1300 kuendelea Wewe hapo ulipo bei ikoje.
2 Reactions
13 Replies
867 Views
Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
2 Reactions
8 Replies
754 Views
Back
Top Bottom