All in all 2023 year is coming to the end. Let us pray hard next year to be good.
Whatever happened this year let be a lesson don't quit. Though the game is tough we shouldn't stop learning...
DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini...
TRA KUKUTANA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI KUJADILIANA MABORESHO YA SEKTA YA MADINI
-Kuhusisha Watoa huduma,Wachimbaji wakubwa na wadogo
-Waziri Mavunde aipongeza Wizara ya Fedha kwa ushirikiano...
Bila shaka mu wazima na mnaendelea na majukumu.
Moja kwa moja niende kwenye mada,naomba kufahamishwa kuhusu binance.
Kwanza binance ni nini?
Inafanyaje kazi?
Faida zake?
Hasara kama zipo...
Kuna masoko takribani matano ya mitaji
Soko la hati fungani
Soko la hisa
Soko la Kubadilisha fedha
Soko la Cryptocurrency/ Fedha za crypto
Soko la Bidha/Dar Mercantile market
Hayajepewa kibali...
Wakuu,
Mimi nikijana ninafanya kazi kwenye taasisi moja nchini kama Volunteer kwa muda wa miezi sita sasa.
Mwanzo nilikuwa nafanya kazi kwenye moja la shirika kubwa na mshahara mzuri sema...
MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE
Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini
📍Dar es Salaam.
Waziri wa Madini...
Kwa muda mrefu, Asasi za Kiraia zimekuwa zikitambulika kwa majina tofauti tofauti kama vile; sekta ya kujitolea yaani “voluntary sector”, sekta isiyotengeneza faida, yaani “not-for-profit sector”...
Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania
Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko.
Biashara ikianza kufeli...
Habarini wakuu,
Naomba kuuliza kama yupo mwenye kufahamu mutual funds(kama vile UTT nchini tanzania) kwa nje ya nchi (esp. Marekani & Uingereza) ambazo zinaruhusu foreigners kuinvest atupe...
Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density.
Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200...
VIJIJI VITANO VYALIPWA BILIONI 2 ZA MRABAHA KUTOKANA NA UZALISHAJI WA DHAHABU NYAMONGO-TARIME
●Kiasi cha Tsh Bilioni 2 zalipwa kwa vijiji vitano
●Wilaya ya Tarime yanufaika na Malipo ya Tsh...
WAVUVI WA MUSOMA VIJIJINI WAHAMASIKA KUCHUKUA MIKOPO NAFUU YA SERIKALI YA UVUVI WA VIZIMBA
Busumi Fishing Cooperative Society (Chama cha Ushirika cha Wavuvi wa Kitongoji cha Busumi) kimechukua...
Wakuu habarini,
Nahitaji kufungua duka la vinywaji kama bia, soda, pombe kali baadhi, maji na sigara la rejareja sio kuubwa bali la kawaida tu, naomba muongozo wa wanaofanya hii kwamba naweza...
Makala hii imeandaliwa kwa lengo la kumkwamua mjasiriamli katika kutengeneza bidhaa mbalimbali za ujasiriamali itumie kujigunza kunatengeneza bila kufundishwa.
Kupitia program maalumu ya mafunzo...
Rais wa 16 wa Marekani, Abraham Lincoln aliwahi kusema “Ukipewa Masaa sita ya kukata mti, tumia masaa manne kunoa shoka” kwa maneno mengine ni kuwa utatumia nguvu nyingi sana kuangusha mti ikiwa...
Kama mfanyabiashara wa Tanzania nikiwa na uzoefu wa takriban miaka 15, naomba nitoe uzoefu wangu kwa watu wanaotamani kuanza biashara zao wakilenga kupata tender za serikali kama source kubwa ya...
Maisha yetu na safari nzima ya maisha ni Project yetu.
Madamu ni project mhimu kila mmoja ajifanyie SWOT analysis yake, hii itamsaidia ajitambue, ajirekebishe, ajitathmini na aamue mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.