Jamani kwa mtu ambaye hajawahi kufanya biashara ni wapi pazuri kuwekeza kama million 100?
Hisa, kampuni zipi Zina hisa Bora,,NMB,CRDB,TBL, Serengeti Bia,Wapi hasa na kwanini?
Bond..je za BOT 20...
JamanI mimi nataka nifanye biashara ya dagaa nakua nasafirisha kutoka mwanza kupereka songea na iringa je ni changamoto gani ninaziweza kukutana nazo.
Nahitaji TahadharI, faida zake na hasara...
ZIARA WAZIRI MAVUNDE YALETA FARAJA KWA WACHIMBAJI WADOGO WA LEMISHUKO, SIMANJIRO-MANYARA
- Eneo la Lemishuko kurushwa ndege nyuki ya Utafiti
- Serikali kutatua changamoto ya Maji,Umeme,Barabara...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu.
Siwezi kukaa...
Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara.
Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako.
Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy...
Wakuu msaada hapa mawazo tutani, napenda sana biashara ya samaki, naomba kujua ni kwa namna gani nitafanya bishara hii japo kwa mtaji mdogo ila tu inipe faida.
Kwa uenyeji mimi nipo mkoa wa mara...
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki...
Nimeangalia Maua yana bei sana. Nimeshindwa kujua kwanini?
Natamani kuuza maua kwa bei rahis lakini siijui hii biashara?
Nahitaji ushauri
1. Biashara ikoje?
2. Kuagiza nje na kununua jumla...
Habarini wakuu!
Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr...
Agosti 6, 2024
Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram.
Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja...
Habari Wana JF,
Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni.
Ahsanteni 🙏
Hatupaswi kuishi jumlajumla.
Ni vizuri ukajitathmini na ujiwekee kiwango chako cha pesa na mali ambacho chini ya hapo utafanya lolote usishuke.
Madhara ya kuishi bila kujiwekea kiwango chako cha...
Habari zenu wapendwa,
Naomba kujua kuhusu biashara ya chikichi kavu na soko lake kwa ujumla na changamoto zilizopo kwenye biashara hiyo kwa mwenye ufahamu
Aksanteni!!
DODOMA
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekutana kujadili namna ya kuondoa changamoto katika sekta ndogo ya chumvi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.