1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote.
2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie,
3. Betting/Bahati...
Habarini wana jamvi, hivi karibuni kama mwezi hivi uliibuka mtandao wa kuwekeza hela then unalipwa 20% ya fedha ulowekeza kila siku.
Kama kawaida wa tz hatusikii watu wakajiunga. Mimi fursa...
Nilikua sijui na nikawa nadharau sana, ila Facebook Ina wateja utawachoka wenyewe, Kuna magroup ya biashara kujiunga bure unakuta Kila group lina 200k members asikudanganye mtu utafanya biashara...
Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi...
Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze
Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone.
Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au...
Mimi ni moja wa vijana wasaka tonge, Nina ndoto ya kufika mbali kiuchumi, nipo Singida, sasa natamani kuhamia Kati ya manispaa ya Mpanda au manispaa ya KAHAMA au NZEGA TC ,wenye uzoefu na Maeneo...
Asilimia kubwa ya biashara zinazokufa ni za wale watu ambao wanaomba mawazo mfano nna milioni Moja na laki tano nifanye biashara gani ?
Hizi biashara huwa hazichukui mda mrefu kwasababu mtu...
Hello, nahitaji muongozo kuagiza bidhaa ambazo ukiingia Amazon unaambiwa THIS ITEM DOES NOT SHIP TO YOUR LOCATION.
Nina soundbar nililetewa na mtu imekufa, nataka kuagiza nyingine lakini haiwezi...
To attract more customers to your business, consider implementing the following strategies:
1. Define your target audience: Identify your ideal customers and understand their needs, preferences...
Wana jf, nimeona hizi noti mpya za elfu kumi zina usawa wa ukubwa sawa na noti ya elfu mbili ya zamani! Tahadhari kwa wale wanaotumia money counting machines! Zikichanganywa na za kumi...
Pesa au fedha Uzalishwa wapi??
Pesa ni chombo cha kubadilishana bidhaa na huduma katika ya watu.
Katika lugha ya kiswahili. Chombo hicho kina majina kaza wa kaza
Fedha, mshiko, chapaa, na mengine...
Ni Kawaida Sana kupita sehemu ukasikia tangazo la mtu kununua pesa za kigeni pesa mbovu au pesa za zamani yes pesa hizi zinanunuliwa kulingana na thamani mfano elfu 10 mbovu atakupatia elfu 8 yeye...
Habari zenu wana Jf ni matumain yangu kuwa mko salama.
Kama topic inavyojieleza hapo juu naomba msaada wa kujua namna ya kuanzisha, kuendesha faida, changamoto na namna ya kuziepuka ili niweze...
Ni tarehe 12 mwezi wa nane,
Je una duka la vifaa vya ujenzi?
Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi?
Vipi ulilipwa kwa wakati?
Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.