Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali...
Dodoma, Tanzania – Agosti 08, 2024 – Kampuni ya Sukari ya Kilombero imeshiriki katika Tamasha la mwaka huu la Nane Nane, lililofanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8 katika mikoa ya Dodoma na Morogoro...
Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya...
Asema mradi huu una umuhimu wa kipekee
Asema kiwanda hicho kinaenda kutoa uhakika wa sukari nchini, awapongeza NSSF na Jeshi la Magereza kwa kufanikisha mradi huo
Na MWANDISHI WETU,
MOROGORO...
Wakuu kwema kama una betri la dell Inspiron 3576 used Naomba sogea dm tuyajenge unipe Bei Yako tumalize biashara
Betri atleast liwe longer 3 hours.
Karibuni dm /0627796644 [emoji3513] Whatsapp...
Habari wanaforums! Nauza Mbao za mti wa pine zenye ubora, kipimo kilichojaa na bei rafiki.
Size ambazo zinapatikana ni
2 by 4
2 by 2
2 by 3
1 by 4
1 by 10
1 by 8
1 by 6
Ninapatikana Wino Songea...
Nimewekeza jana kwenye mfuko wa ukwasi ( liquid fund) nimeweka milion 7 hasa leo nimeangalia salio hapa inanionesha hivi naombeni msaada kwa wazoefu. Mimi nilikuwa nafikiri nitaikuta hela yangu...
Naombeni ushauri nilikuwa sijui nimewekea 500m na wazazi wangu nimekuja kujua hivi karibuni wiki ya kuanzia j3 kuja wikiend hii nipo hapa naweweseka baada ya mwanasheria wa mzee kuniambia kwa...
Wakuu naombeni ushauri mzuri wa kufanya hii Biashara nataka kufungua sasa.
1. Wapi ntapata makeup set nzuri kwa gharama nafuu.
2. Vitu gani niweke ili kunogesha Biashara yangu?
Mimi ndo kwanza...
Habari wakuu,
Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi...
Habari WanaJF!
Nahitaji link, muhusika (supplier), mkulima au mwenye kufahamu ninapoweza kupata kwa wingi KARAFUU, UFUTA, DENGU na PILIPILI MANGA.
Nina mnunuzi tayari mkononi. Naomba msaada...
Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.