Nina eneo langu lipo barabarani kabisa... Maeneo ya Tegeta.. Huku ndo watu wanajenga sana sasa hivi, zipo hardware uchwara ambazo hazina kila kitu.... Kama tiles ndo hakuna kabisa...
Sasa...
WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA WAKINA MAMA NA VIJANA (MBT) KWA VITENDO
•Leseni 4 zakabidhiwa kwa kikundi cha Mshikamano Women
•Waziri Mavunde awapongeza kwa kujenga Zahanati...
Natafuta mtu mwaminifu mwenye duka, nitakaye mkopesha product hizi na atalipa atakapouza. Maduka 25 tu. Kama unahitaji wahi sasa.
Product hizi ni
1.a )Mishumaa ya kawaida.
b)Mishumaa ya...
Habar wakuu,
Tafadhari rejea kichwa hapo juu. Baada ya kukaa benchi mda kidogo bila ajira niliamua kujichanga mm na rafiki yangu kufungua biashara ya laptops za vifaa vya simu, Mungu akasaidia...
Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.!
Nilitaka kutabiri muda wa anguko au kufa Kwa SGR nikakuta kumbe kuna nabii kashaa tabiri kwamba haifiki miaka 6 hii tren itashindwa...
CRDB BANK:
Nilifungua account ya CRDB lakini nilikutana na mambo ya ajabu mpaka nikatelekeza account baada ya miaka 4.
Niliwahi kufanyia miamala ya kutoa pesa kwenye ATM za CRDB ndani ya mwaka...
Habari wanajamvi nataka kufungua biashara eneo la wazi biashara itahusisha chips,mihogo yakukaanga,nyama choma,supu nk nafikiria kununua projector itakayo nipa nch 100 ama zaid iwe moja ya kivutio...
Watu wanafurahia kuhusu uwekezaji angali wengine wanabeza na wengine hawajui ni nini kinaendelea
Kwenye jamii kuna makundi matatu ya watu.
1. Kundi la wengi, wale wanatumia nguvu akili, jasho na...
Habari zenu wana jamvi, hivi ni kwa nini biashara za bongo hasa hasa zinazomilikiwa na watz weusi huwa haivuki kizazi zaidi ya kimoja?
Yaani unakuta anapokufa muanzishaji wa ile biashara basi...
Wasalam wana Jamvi.
Naomba kwa wataalam wa Kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
Jinsi mimi ninavyopata faida ya 45,000 kwa siku.
Kwasasa nina pikipiki aina ya Fekon na Huoniao jumla zote zipo 15 mtaani kwa mkataba wa miezi 12. Nilianza na mtaji wa 8,300,000/= mwaka Jana...
Salaam moja kwa moja kwenye mada! Wiki mbili zilizopita nilipata bahati ya mzigo kwa bei rahisi! Basi nikawa na pesa nusu ya kuulipia na nusu iliyobaki nikaona nikope hii NBC! Na kumuahidi muuzaji...
Habari zenu wadau,
Mtaji wangu ni milioni 3-4, naombeni ushauri wa biashara ya kuweza kuniingizia kiasi cha kuanzia elfu 30 mpaka elfu 50 kwa siku. Nina miaka 30, nipo Dar, jinsia Wa kiume...
Salaam.
Nimeliona hili muda mrefu ila sababu leo ni Dabi ya kariakoo nimeamua kuliongelea.
Nimeliona kwa baadhi ya wasanii, comedian, watangazaji na baadhi ya watu maarufu.
Utakuta mtu ana...
Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje...
Jaman naombeni ushauri kwa wale wenye uzoefu Wa biashara ya accessories nilikuwa naomba kujua mtaji wake wa kuanzia accessorie ipi inatoka zaid na zipi mzunguko wako ni mlefu na mengine mengi...
Kwa uzoefu wangu wa kufanya biashara hapa nchini ni megundua hamna nchi ngumu kulea biashara watoto na wajuku wako waikute, watu wanapoteza mitaji kimasihara, mtu anafungua duka la vipodozi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.