Kama title inavyojieleza nina idea ya kuanzisha kiwanda kidogo cha pombe ila bado sijui costs za kufinance projects na kwa mwenye madini naomba anipatie.
Pia, kama kuna mwenye uzoefu na biashara...
Hapa ni orodha ya nchi 20 zilizotajiriwa zaidi katika bara la Asia kutokana na Pato la Taifa la Jumla (GDP) kwa mwaka 2023:
1. China - GDP: $14.72 trillion
2. Japan - GDP: $5.11 trillion
3. India...
Habari wanajamvi..
Kila siku watu wanawaza how to make money through doing businesses or establishing commercial projects.
Kuna watu wana mitaji ila wana hofu wajilipue vipi, wanaogopa risks hasa...
Leo asee nimekaa pekeyangu wakati nimejawa na ukimya binafsi na baada ya shughuli ya kila siku nikapatwa na wazo "iv wenzangu kupitia simu zao huwa wanajitengenezea kipato kwa namna gani au wao ni...
kwa mwaka 2024 ,Soko la Hisa la Dar lina jumla ya makampuni 25...kutoka 27
kampuni 1 lilifirisika na kuondolewa sokoni....YETU MICROFINANCE
Kampuni moja limenunuliwa na kampuni lenzake......TWIGA...
Habari za kwenu wakuu? husika na kichwa cha chapisho hapo juu...Ni kwamba nahitaji body spray au perfume yenye sifa zifuatazo;-
1.Manukato ya chocolate
2.Bei ya kawaida (Affordable Price)
3.Iwe...
TCB YASAINI MOU YA MIKOPO NA ZEEA KWA AJILIYA KUSAIDIA WAJASIRIAMALI KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) leo imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) na Wakala wa serikali wa...
Habarini wakuu,husika na mada tajwa hapo juu.Kama kuna viongozi humu wa UTT amis,tunaomba muangalie namna ambavyo salio linaweza soma haraka kwenye akaunti baada ya kuwekeza at least iwe within...
Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la nafaka DAR lakini mimi mi mgeni katika biashara, sijui nafaka gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika sana hapa Dar na...
Habari Wana JF naomba wenye ujuzi wa biashara mnifahamishe kuhusu hili:
Nataka kufungua duka la dawa za mifugo yaani veterinary drugs, ninahitaji vitu gani na gharama zake zikoje ukiacha mtaji wa...
Habari wakuu
Mimi nina kampuni japokua bado ni changa ofisi ipo Africana, nahitaji watu wa marketing sio wa kuwaajiri ila tunawaeza kuarange terms tukalipana kwa kazi.
Kampuni ina husika na...
Katika makadirio ya mataifa yenye uchumi mkubwa barani Afrika kwa mwaka 2024,Taifa letu linashika nafasi ya 10.
Nimeweka orodha ya hizo nchi 10 na chanzo kikubwa cha uchumi wa nchi husika. Pia...
Mzigo mpya unawasili leo.
(Dar es salaam ) Njoo machinga Complex Upande wa Kutoka Ilala uliza GIN INVESTMENT Ghorofa ya Tatu. Upate mifuko kwa bei ya Jumla.
Size zilizopo ni
Hash 15
Hash 22...
WAZIRI MAVUNDE: TEMBO NICKEL YAFANIKIWA KUSAFISHA NA KUZALISHA MADINI YA NIKELI, SHABA NA KOBATI KWENYE KIWANDA KILICHOPO KABANGA, NGARA, HII NI HABARI NJEMA
Kampuni ya Tembo Nickel ambayo...
Wapendwa Katika bwana,
Natamani Sana kujiona nikipiga hatua,
Naombeni fursa/ Mchongo wowote ambao naweza kupiga 20k hadi 30k kwa siku.....hapa Dar es salaam
Mimi ni binti.
Wadau naomba ushauri, nimedunduliza kama 50 Million Tsh, nataka niwekeze sehemu nipate vijisent kabla yakuingia kwenye biashara.
Je, wapi sasa ni pazuri kuwekeza na kwanini? eg Fixed...
Hiyo ni kauli ya Bimkubwa wakati akiwa kwenye uzinduzi wa SGR njia ya Dar kwenda Dodoma mapema leo.
Amesema ana taarifa kwamba mzee Abood alishapunguza baadhi ya mabasi kwa njia hiyo ila serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.