Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amewataka Wadau wa Sekta binafsi na Wadau wa usafirishaji kwa njia ya anga waliopo ndani na nje ya Nchi kuwekeza katika ununuzi wa ndege ili kuunga...
Kama kichwa Cha habali hapo juu nahitaji kujua namna ya kuagiza vitenge Toka tunduma kiukweli Sina uzoefu na hii biashara namuna ya kuupata Mzigo mpaka kuufikiaha dar na cost zake nitashukuru.
Mwaka 2010 asilimia 5% tu ya biashara zilikuwa zinatumia social media. Leo 2024 asilimia 98% ya biashara zote zinatumia social media.
Leo 2024 asilimia 5% tu ya biashara zinatumia AI
Kama...
Najiuliza niongeze nini dukani kwangu. Bidhaa gani ni nzuri dukani na zina faida nzuri kidogo. Hili duka si la hali ya chini sana ni duka la kati.
Karibuni tujadili nini na nini kisikosekane...
Wanabodi,
Moja ya ugonjwa mkubwa na mbaya kuliko magonjwa yote yanayolikabili taifa letu, ni ugonjwa wa kukua kwa deni la taifa, ambalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko uchumi wetu. Ukuaji wa...
Mtu mwenye nidhamu ya kuweka akiba ya pesa, mambo mawili humuongoza katika safari yake ya mafanikio
1. Matumizi ya lazima
2. Matumizi ya muhimu
Matumizi ya lazima
Ni aina ya matumizi ambayo mtu...
UTAJIRI MKUBWA ULIOPO KWENYE UWEKEZAJI WA DHAMANA ZA SERIKALI
Uwekezaji kwenye dhamana za serikali umegawanyika makundi mawili.
i) Dhamana za muda mfupi (treasury bills)
ii) Dhamana za muda...
Naomba kwa anaelewa anifafanulie kiundani ni jinsi gani Treasury bills and bonds zinavyofanya kazi. Pia kati ya hizo mbili ukilinganisha na Fixed Deposit Account. Assuming ni 100,000,000 nataka...
Mimi ni mwalimu daraja la IIIB. Nina zaidi ya miaka 5 bila ajira. Kijijini kwetu kuna changamoto ya Shule na wazazi na jamii Kwa ujumla wamejichangachanga hera na wamejenga madarasa mawili pamoja...
Nadhan nimeeleweka wakali nisiwachoshe ntakua DODOMA kwa mda wa siku kadhaa almost wiki, anayehusika na mambo ya udalali wa kichwa cha habari, tafadhari tuwasiliane
Wadau ninekuwa natamani kununua bond za mda mrefu. Nina millioni 75, je ni njia ipi rahisi kununua hizo bond zinazolipa interest ya 15.49 hadi 15.90pct kwa mwaka?
Njia ya Moja kwa moja BOT naona...
Watu wengi ambao wamekua wakiagiza bidhaa kutoka China, wamekariri majukwaa mawili tu…Yaaani AliExpress na Alibaba
Hii ni kwasababu, watu wengi hawapendi kusumbuka….
Ila ukwel ni kwamba...
Hapa namaanisha kiwanja kilichopimwa, kinachotazama barabara ambayo iko busy mahali ambapo naweza kujenga jengo la biashara na ofisi.
Kiwe na full documents, kisiwe na migogoro, mauziano...
Naandika Kwa masikitiko makubwa mno yaani vitu ambavyo vimefanywa miaka ya nyuma (1300) Huko China na (1650) na wenzetu wa ulaya. Kesho kutwa 2/8/2024 viongozi wa CCM. Wanaenda kusaini mikataba...
Habari zenu wakuu.
Mapambano yanazidi kupamba moto kila uchwao, kila mmoja katika nafasi yake. Leo nimekuja na swali kwenu nyote wataalamu katika masuala ya kusoma upepo wa biashara kule ziendako...
Na Chedaiwe Msuya,WF,Mtwara
Wafanyabiashara wametakiwa kujenga tabia ya kuweka akiba katika biashara zao ili kuhakikisha wanakuwa na maendeleo endelevu.
Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Benki Kuu...
Habari!
Mwenye uzoefu na biashara ya kusaga na kukoboa mahindi ( sembe na Dona ) Naomba kuelimishwa faida katika kila kilo mfano kwenye Sembe ( kama wewe ndio mwenye kiwanda unatakiwa kuweka shi...
Habari kubwa katika kipindi hichi kwa upande wa fedha na uwekezaji ni cryptocurrency au kama inavyofahamika kwa Kiswahili fedha za kidijitali. Aina hii ya fedha imewavutia wengi siyo kwa sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.