Ila UTT ni bonge la mchongo mwaka jana nimevunja kibubu changu cha chuma nikakuta m8 na usheee pesa nilijibanabana mwenyewe hamna kilichoongezaka,
Mwaka huu 15/05/2022 nikafungua account UTT...
Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza...
Kunafursa kwa vijana na watu wote wenye malengo ya kujikwamua kiuchumi. Hii ni fursa ya kufanya biashara ambayo haihitaji upange ofisi au frame na pia mtaji wako mdogo tu tayari unaanza kufanya...
Mimi sipingi uwepo wa VICCOBA kwasababu kwa mtu ambaye hana mtaji anaweza kujiunga na kusevu kidogo kidogo na baada ya mwaka akapata mtaji wakati wa kuvunja kiccoba. Ni njia nzuri ya kufikia...
Habari zenu wadau
Leo nimekuja hapa nataka niwashirikishe sababu zinazofanya biashara nyingi kushindwa kukua na Nini cha kufanya ili biashara yako ikue
Nipo kwenye biashara kwa muda mrefu Kuna...
ALAF Limited (Tanzania), moja ya makampuni yanayoongoza katika kutoa suluhisho kwa ujenzi imekabidhi mabati yenye thamani ya Sh35 milioni kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI)...
Kumekuwa na malumbano kuwa biashara ya duka hasa rejareja haina faida. Leo nitaleta baadhi ya bidhaa tu kupinga malumbano hayo (maana ndo ishu nnayoifanya)
Just kabla sijaanza, ukitaka kuona...
Wakuu,
Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu...
Habari za kutwa wanajamvi poleni na majukumu.
Leo naomba msaada kwa wale waliowahi au wanaendelea kutengeneza faida ya Tsh 30,000 na kuendelea kila siku.
Tafadhali zingatia kueleza yafuatayo...
There is this common saying among most youths nowadays which is “money must be made” and that is why there engage in all types of illegal activities just to make money. Poverty and riches are just...
Salaam Wakuu!!
Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto.
Mimi mkazi wa Mwanza...
Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani
nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie...
DED MAKETE AWAHAKIKISHIA WAKULIMA WA NGANO SOKO LA UHAKIKA
Halmashauri ya Wilaya ya Makete Julai 23, 2024, imesafirisha Tani 32, za Ngano, ikiwa ni awamu ya Pili ya Ununuzi wa Ngano baada ya hapo...
IPO KINYEREZI KIBAGA KWA WASHUA
GHOROFA NI YA VYUMBA V4 SEBULE JIKO DINNING PUBLIC TOILET, STOO
NJE IPO BOY COTER VYUMBA V2 NA CHOO
BEI MIL 750
TITTLE DEED MKONONI
ENEO SQM 1200
KARIBU...
Wakuu nina maswali kadhaa kuhusu hii biashara.
Je, ninahitaji vibali gani? Na vinapatikana katika ofisi zipi na pia itakuwa msaada sana kama itawezekana kuweka gharama zinazolipwa kwa kila...
Kuna shops unaingia unamkuta huyo muuzaji anaongea na simu muda woooote styms hadi mteja unakereka unaamua kusepa zako.
Kuna wakati huwa najiuliza hivi hawa wanaofanya hivi ndio wamiliki wa hizi...
Rafiki yangu, kama ulikuwa hujui, au ulikuwa unajifanya hujui basi wacha nikujuze. Hii Ndio Biashara sasa na huyu ndio mfanyabiashara wa kweli.
Kuhusu Faida
Biashara ya kweli ni biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.