Mhe. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasiali na Utalii, Nkoba Mabula (kulia) akiongozana pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania Ndugu: Ephraim Balozi Mafuru(kushoto) na Mkurugenzi...
Wadau habarini.
Nipo Dar, nahitaji chimbo la uhakika kupata cardet kwa bei rahisi ya jumla chini ya 15,000 na chupi za kike, boksa, vesti na kadhalika.
Kariakoo kubwa. Anayejua anijuze...
Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara...
Ni kama inavyojieleza hapo juu, mimi ni mfanyabiasha wa mda mrefu natafuta partner wa kuanzisha kampuni ambayo tutaanzisha kutegemea na mtaji wetu tutakao kuwa nao, mwenye malengo ya kukua...
Habari wakuu,
Nimeweka pesa UTT AMIS toka Alhamis wiki ilopita ila mpaka leo salio linasoma sifuri, msaada mwenye kufahamu inachukua muda gani salio kuonekana kwa akaunti tafadhali.
NB: Simu zao...
Habari,
Nawasalimu, na kujipambanua kwenu kuwa kupitia elimu na weledi wangu katika masuala ya kutoa huduma ya kuandika maandiko au mapendekezo ya miradi, nipo hapa tena kwa huduma jumuishi na ya...
==> Anzisha Mitandao kama Uber, Tala, Airbnb, Amazon, Zidisha, Makazi, Jumia, Brightermonday...Upate Kuwa na Competitive Edge na Utoboe Kiufanisi Zaidi
------------------------------------------...
Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu.
Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh...
Wakuu Nijuzeni
Nahitaji kufungua duka la vifaa vya maabara.
Pia nahitaji washirika ambao naweza nikawa nachukua mizigo kwao au nashauriana nao.
Kama una picha ya duka pia naweza kuona maana...
Habari wana JF wote
Wafanya biashara wabongo baadhi magumashi sana hasa hawa madalali na wachuuzi wa bidhaa kutoka nje China, dubai nk wanazingua sana,
Sijui ni elimu ndogo niliyokuwa nayo au...
Hawa matajiri wa mbao na parachichi kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini hivi sasa wanatisha kwa kununua magorofa Kariakoo na kuwafukuzia mbali kabisa matajiri wa kutokea ukanda wa kaskazini mwa...
Habari zenu wapendwa,
Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000.
Kwa...
Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda...
MSAADA WA KUFAMU JAMBO KUHUSU MKOPO WA SELIKALI
Habali wanandugu;
Mimi ni kijana wa makamo naomba kuuliza jambo. Huwa nimesikia kuwa katika hii nchi yetu huwa inatoa mkopo kwa vijana kwa...
Habari ya leo wana JF,
Ninawakimbilia tena mnielekeze namna ya kuitunza na kuisafisha friza! Nashukuru Mungu baada ya kuwauza kuku wangu wa urithi nimenunua haka kafriza ili kanisaidie niwe nauza...
Kwa wale wenye uzoefu na biashara ya maharage napenda kuuliza eti debe moja ya maharage inakadiliwa kuwa na kilo ngapi?
Au gunia lenye kilo 100 la maharage linakuwa na debe ngapi?
Msaada please
Habari wakuu! Nimekuwa nikitafuta soko la uhakika la ubuyu ambao bado ni malighafi kwa miaka 4 sasa bila ya kufanikisha.Maeneo nilipo malighafi hii ya ubuyu upatikana kwa wepesi na kwa bei ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.