Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Bajeti ni kuziambia pesa zako pa kwenda na cha kufanya badala ya kukaa na kushangaa zilienda wapi na kufanya nini. Hakikisha una bajeti ya pesa zako, Itakusaidia kujua kiasi gani kinaingia kutoka...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwenye Dunia hii ya mabeberu watu wanaoongoza kutengeneza hela ni wafanyabiashara, wakifuatiwa na watu wenye vipaji, kisha watu wenye taaluma zenye demand kubwa na kuendelea. Huenda this fact...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Utangulizi Uzi huu unatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri(magari/pikipiki). Aina ya vyombo...
5 Reactions
5 Replies
892 Views
Nauza Dry & Reefer | Freezer Containers 40Ft & 20Ft Bei za Dry Containers (Offer till 20th July) 20Ft - Tsh 4.3M 40Ft - Tsh 6.3M Bei za 40Ft Reefer Containers (Offer till 20th July) 40Ft - Tsh...
0 Reactions
3 Replies
272 Views
Waungwana habarini, Kama kuna mtu amewahi/anafanya kazi katika kampuni za kuagiza magari kutoka nje. Mwenye uzoefu na hayo maswala kwa kifupi. Naomba tuwasiliane Normal/Whatsapp 0757520276...
2 Reactions
6 Replies
400 Views
Kwa kipindi hiki ambacho ajira zimekua chache sana wa watu ni wengi sana,unaweza kutoka kwenye wimbi hilo la kukaa bila ajira wala kazi ya kufanya. KAZI ZIFUATAZO UNAWEZA KUFANYA KWA MTAJI MDOGO...
5 Reactions
7 Replies
22K Views
UMEME KUONGEZA UZALISHAJI WA MADINI MKOA WA KATAVI-MAVUNDE Waziri wa Madini Mh . Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wa mkoa wa Katavi kwamba utekelezaji wa mradi wa kuingiza Katavi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Naomba kuuliza ntapata wapi soko la uhakika la kanga wa kienyeji?
2 Reactions
9 Replies
634 Views
Habari wakuu, Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hello JamiiForums, Mimi ni binti yenu, mdogo wenu, rafiki yenu na Mtanzania mwenzenu. Nina miaka 24, mimi nimekuja kwenu nahitaji msaada wa mawazo yenu. Naishi Mwanza napendelea sana kujitoa...
4 Reactions
15 Replies
807 Views
Unakwama nini katika uandikaji miradi ya kuomba ufadhili, au kuvutia uwekezaji au kuuza wazo? Tuwasiliane, (writing is also an art, which differ from one person to another) if you think writing...
1 Reactions
2 Replies
225 Views
KWARE HASA JUMBO WANAWEZA CHUKUA NAFASI YA KUKU. Kware wanaweza Chukua nafasi ya kuku kwenye swala la kitoweo, Ukilinganisha na gharama za kutunza kuku basi Kware wanakuwa Optional nzuri sana...
1 Reactions
8 Replies
709 Views
Kwa Dar es Salaam, Walnut nuts nitapata wapi, na kwa kiswahili zinaitwa je? Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu samahani nimekwama hapa, nawaza ni biashara gani naweza fanya ya mtaji wa milioni 2 nikapata faida pamoja na rejesho la kila wiki shilingi elfu 90, kwa mwenye wazo anisaidie tafadhali
4 Reactions
62 Replies
12K Views
Habari zenu wana JF, Katika kufuatilia nyuzi kadhaa kuhusu shipping agents kwa meli kutoka China kuja Tanzania, Nimekutana na Silent Ocean, Shamwaa na Mapembelo Cargo. Which one should i go for...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wadau wenzangu wa JF, Nataka kuanzisha mjadala mpya kuhusu kununua bidhaa kutoka China na njia za kuokoa gharama za usafirishaji. Nina uzoefu kiasi wa kununua bidhaa kutoka AliExpress...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
● Prof. AbdulKarim Mruma kuiongoza Timu ●Wapewa Hadidu za Rejea 14 muhimu kujenga uchumi wa nchi kupitia madini ● Tanzania kufanya Utafiti wa eneo la asilimia 50 nchi nzima kufikia 2030 ●...
0 Reactions
3 Replies
264 Views
WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227. -Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria -_wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu...
0 Reactions
2 Replies
310 Views
NAFASI YA SEKTA BINAFSI KWENYE UCHUMI WETU Andiko hili linaongelea nafasi na umuhimu wa sekta binafsi katika uchumi na maendeleo yetu tangu tulipoubwaga ujamaa wa Mwl Nyerere na kuingia kwenye...
1 Reactions
2 Replies
359 Views
1.Kwanza nataka kuuliza? ni sababu gani MNACHUKUA malipo ya DOLA kwa ulipaji wa leseni za kampuni za FREIGHT FOWARD (clearing & fowarding)? Kama tunataka kukuza thamani ya shilingi, na TRA ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom