Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wanajamii, nilikuwa na ndoto ya kusave nije kuanza biashara ya kusafirisha mizigo (kutumia semi) au hata kuwa na tipa la howo la 20cm3. Nimejikuta kuzikubali sana hizi tipa za howo kasoro...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
NMB CHINI YA WAZUNGU NMB CHINI YA WAZAWA. NMB imekabidhi gawio la Tsh. Bilioni 57.4 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni kiashiria cha azma yao ya kuhakikisha wanaleta...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa kinavyoeleza hapo juu muda mrefu nimekuwa na mpango wakufungua car wash pamoja na car body repair ambayo itakuwa na ubora na yenye kufanya kazi kwa ubora wa hali ya juu...
5 Reactions
10 Replies
762 Views
Wakuu Salama?? Nina Eneo ambalo nimepambana Kujenga Kwa ajili ya Biashara ya Pharmacy na Vifaa Tiba. Lipo kwenye Finishing. Nahitaji mbia/Business partners ambaye tunaweza Kuingia Makubaliano ya...
1 Reactions
4 Replies
796 Views
Wale wazoefu wa kufanya biashara kwa muda mrefu na kwwa mafanikio.. Mazingira ya kufanya biashara kwa nchi ya Tanzania yamekua magumu,tunaona migomo sehemu mbalimbali nchini, na zaidi hata...
1 Reactions
9 Replies
515 Views
Habari wakuu, Hivi kwa mtu umeingia kwenye vat tayari halafu unakuwa na changamoto ya kupata risiti za manunuzi yaani unaponunulia hupewi risiti kabisa au unapewa risiti kidogo sana. Sasa...
1 Reactions
12 Replies
576 Views
Hii tambulisha yao ya vifaa vipya siku Jumanne, Julai 16, 2024 huenda ikaja na jambo. Je, kidonda cha bajeti kwa watanzania Azam watakitia chumvi?
2 Reactions
9 Replies
650 Views
Na Mwandishi Wetu Kampuni ya kuuza magari yaliyotumika kutoka Japan ya Kobe Motor,imetoa zawadi mbali mbali kwa wateja wake ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uhusiano na wateja pamoja na kusherehekea...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Mchina Anayedaiwa Kuanzisha Mgodi wa Madini ya Ulanga Kinyemela Kusakwa Naibu Waziri wa Madini Dkt Steven Kiruswa amemwagiza afisa Madini mkoa wa Songwe kushirikiana na Ofisi ya Halmashauri ya...
0 Reactions
7 Replies
393 Views
Hellow lovers, Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi? Ilikuaje? Tuambie tujifunze.
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Kiungo cha pesa kinachohitajika kuanzisha biashara au mradi hutofautiana sana kulingana na aina ya biashara au mradi, ukubwa wake, mahitaji ya kuanzisha, na mambo mengine mengi. Hapa kuna mambo...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazozalisha pamba kwa wingi. Kulinga na na taarifa ya Bodi ya pamba, Tanzania huzalisha wastani wa tani 220,000 za pambambegu kwa mwaka. Na huwakilisha asilimia 10...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Habari wanajamii, mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habarini wana JF, nitangulize shukrani za dhati kwenu wote. Nahitaji kuanza maisha yangu mjini Kahama. Natambua kuna wazoefu na wenyeji wanaoijua vizuri. Nina mtaji mdogo tu wa milioni moja. Je...
5 Reactions
85 Replies
25K Views
Habari za wakati huu nduguzangu. Mungu ni mwema juu ya mapitio yote ya hapa na pale naamini sote tu wazima, penye walakini Mungu alete neema. Nilifanikiwa kupata ID ya mtihani siku ya mtihani (kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu wapi ntapata midoli ya nguo za watoto kwa bei chee. Ndo najitafuta. Musaada tafwazali.
2 Reactions
2 Replies
310 Views
Wakuu msaada, chimbo la kadeti Kariakoo, za jumla zile. Hata number nitashukuru!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba nimpe kibarua pia nimpongeze January Makamba, kwa uongozi safi wa wizara husika, hakika upele umepata mkunaji. Lengo la uzi huu ni kumuomba Makamba kuwaalika wawakilishi wa viwanda vya...
0 Reactions
2 Replies
211 Views
Ni maeneo yapi yenye fursa kubwa zaidi ya kuwekeza kwa kijana wa miaka 18 hadi 25? Na ni kwa nini sehemu hizi zinachukuliwa kuwa bora kwa uwekezaji kwa vijana?
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Asalaam, Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini. Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom