1. Unenepeshaji wa ng'ombe
Kipindi cha kiangazi (ukame) ng'ombe huwa zimedhoofika na kusababisha ng'ombe kuuzwa kwa bei ya hasara. Kwa mfano, ukiwa na ng'ombe 5 ambao umewapata kwa 200,000
Jumla...
Habari wakuu.
Naombeni njia ya kweli ambayo siyo scam ya kuingiza $2 online kwa siku.
Isiwe blogging na apps, forex, kubet, cryptocurrency na referral invite networking. sizitaki hizi njia...
TANZANIA NA INDONESIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MADINI
- Kuongeza nguvu katika utafiti wa madini
- Wawekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani madini mkakati wakaribishwa.
-...
Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa.
Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza...
MBUNGE TAUHIDA GALLOS: WAJASIRIAMALI SHIRIKIANENI NA KUBUNI MBINU
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Mhe.Tauhida Gallos amewataka wajasiriamali kushirikiana na kubuni mbinu mbalimbali...
Habari,
Ndugu Watanzania, mimi nikiwa kama mdau ya Forex Trading, nimeona kuna ulazima wa kuandika Makala hii kumsaidia Mtazania yoyote uko nje atakae au anaye tamani kujiingiza kwenye hii...
Kuna kijana amemaliza kidato cha nne hana familia inayomtegemea kwa sasa, amepata sehemu milioni 2 anataka kufanya biashara.
Zipi Kati hizi biashara zinaweza kumtoa kwa kipindi hiki.
1. Kilimo...
Eneo lipo Kinyerezi mwisho mkabara na IKUPA SUPERMARKET Stendi ya zamani ni hatua kumi za miguu kuikuta Barabara kuu ya kutoka Mbezi kwenda mjini, pia eneo lina banda lenye kabati mbili zenye...
Katika jitihada zetu za kuwa na maisha yanayotosheleza, ni muhimu kuelewa aina tofauti za utajiri.
Utajiri haihusu pesa tu; unahusisha vipengele mbalimbali vya maisha yetu vinavyochangia ustawi...
Habari zenu wakubwa!!
POLENI na HONGERENI kwa shughuli za ujenzi wa taifa.
Nina mpango wa kufungua MGAHAWA wa chakula hivi karibuni hapa mtaani kwangu.
Kutokana na kuwa na inshu nyingine...
Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa..
Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza...
WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye...
Habari Wakuu,
Matumaini yangu mko njema na kwa wale wanaopitia heka heka na magumu Mungu abariki mihangaiko yenu iwe yenye kulipa fadhila la jasho lenu linalochuruzika kila kukicha.
Bila kupoteza...
Yes.
Kuna kitu kinaniambia hela ipo nje nje chini huko.kimsingi uwe tu namtaji wako hata wa kukodi fremu kubwa nje mji kidogo au hata ndani ya maeneo yenye watu wengi
Alafu kuwa muaminifu kwa...
Habari zenu wanajamii forum. Huku niliko, mimi ni mzima wa afya, na natumaini huko mlipo ni wazima pia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Leo, katika pita pita mtandaoni, nikakutana na post ya bwana...
Kutafuta fursa za kazi au maendeleo kwenye mazingira uliyopo inaweza kufuata hatua kadhaa za msingi:
1. Tambua Malengo yako: Elewa ni aina gani ya fursa au maendeleo unayotafuta. Je, ni...
Tanzania Is Surging The Tourism Industry With New Visa Free Entry Policy For 46 Countries Including Singapore, Romania and Zambia
Monday, July 15, 2024
Reading Time: 3 minutes
Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.