Wakuu za muda huu;
Dah, mimi naitumiaga sana, lakini sijujua kumbe brand yake ni ya kitambo sana, mwenye maelezo zaidi atatusaidia kwenye comment hapa chini.
Picha hapo chini zinajieleza.
NB...
Asalaam wana jamii,
Mimi nafanya kazi ya bajaj, hua nanunua na kuziweka kwenye mkataba lakini mwaka moja sasa bajaj kimekua zina panda bei vibaja mno
Mwaka jana nilikua nanunua kwa bei ya 8.1...
Habari wana JF,
Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu.
Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa.
Nina...
Habari za wakati huu.
Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni wakala wa NMB,Nataka kutoa malalamiko yangu kwa Bank hii kuhusu kamisheni tunazopewa kwa kazi ya uwakala ukilinganisha na hela wanayokatwa...
Unahitaji gari la kuaminika kwa siku chache au wiki? Usiende mbali! Rhond's company limited huduma zetu za kukodisha magari zinatoa:
Magari yaliyotunzwa vizuri
Vipindi vya ukodishaji...
📖MHADHARA WA 13
Hello mjasiriamali mwenzangu. Naomba leo nishee mambo sita (6) muhimu ambayo ukiyazingatia hutopoteza wateja. Kama unataka kufungua biashara, au tayari umefungua biashara zingatia...
Salaam JF.
Nimekuja hapa nikiwa na imani ya kuwa jf ni uwanja mpana uliosheheni watu wenye ujuzi tofauti.
Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana elimu na uzoefu katika masuala mazima ya...
wapendwa
Ukiacha biashara nilizonazo nimeamua kujikita kwenye biashara ya kiti moto.
kwa wale wa Dar tujuzane inahitaji mtaji wa sh ngapi kuanzia.
Mahali pa biashara papo
fridge zipo
mizani ipo...
Rejea kichwa cha habari apo juu kuna viwanja ambavyo vimekatwa vinauzwa vyenye Square mita 500 kila kimoja eneo ni zuri na viko karibu na shule ya secondary ya The new ambassador..kutoka viwanja...
Habari zenu ninataka kununua vitu online supplier anataka address ya msafirishaji ntakaemtumia, nimefanya research nimegundua kuna makampuni mengi ya usafirishaji.
Naomba mliowahi kusafirisha...
Wote tumedanganywa kwamba eti waliofanilikwa ni wavivu na wanapenda kurahisisha mambo ndo maana wamefanikiwa where ukweli ni vice versa waliofanikiwa ndo watu wanaopambana kupita kiasi
Point...
Tunakodisha eneo la wazi la kufanyia shughuli mbali mbali kama sherehe, maafali, kipaimara nakadhalika... karibuni sana
Kwa mawasiliano piga;
0684101707
Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000
Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)
Hesabu ya siku – elf 10
Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000
Faida miezi 13 =...
Wadau naomba kufaham japo kwa uchache kuhusu uanzishwaji wa online tv ambayo labda kwa kuanzia itafanya kazi Dar es salaam tu! Nifaham kuhusu vibali vya TCRA, gharama za camera, mic na nyenzo...
Naomba kupata uzoefu kwa mwenye uelewa juu ya hizi mashine za kusafisha maji chumvi kuwa maji safi ambazo kwenye baadhi ya miji zimefungwa na zimekuwa msaada sana kwa maeneo yenye adha kubwa ya...
Habari za usiku watanzania wenzangu..
Naomba kuuliza hili jambo kwa wanaofahamu..
Nimekuwa na mpango muda mrefu wa kuanzisha NGO itakayojihusisha na nyanja fulani ya maisha ila nikawa nasuasua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.