Tips:
Start thy purse to fattening (Pay yourself first using the skills you already have)
Control thy expenditures (Keep your expenses low)
Make thy gold multiply (Invest what you save)
Guard thy...
Siku hizi mitandaoni hata JF kumekuwa na posts na comments nyingi sana za chuki. Single Mama na waalimu wamekuwa wahanga wakuu wa hizi chuki. Pamoja na wingi wa watu wenye roho mbaya ila bado wapo...
Kwa Wataalamu wa kodi, Mtanzania akinunua gari dogo la kutembelea kwenye duka la magari kenya atawajibika kulipa kodi Kenya na Tanzania?
Pia soma: Zijue gharama za kodi kabla hujaagiza gari
Salaam wakuu.
Wakuu nahitaji kufanya hii biashara ya vifungashio.
kwahiyo nilikuwa nahitaji kujulishwa kilipo kiwanda cha viroba vya kg100 vile vya kijani na nahitaji viroba bora sio bora...
📖MHADHARA WA 14:
Sisi tunaokuja kuomba kazi kwenye maofisi yenu huwa mnatuomba UZOEFU. Swali kubwa mnalotuuliza; "Una uzoefu wa miaka mingapi kazini?"
Hakuna shida; ubaya ubwela. Ngoja basi na...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF, tukiendelea na mapambano ya kila siku
Kwenye harakati za mapambano nimefikiria kutafuta eneo kwa ajili ya kuuza maziwa ikibidi kuongeza na bites na vitu...
Kwenye industry ya forex sio lazima utrade huku Kuna fursa nyingi nje ya kutrade na ukapiga pesa Safi
1. Unaweza kuwa agent wa malipo ya pesa , Hawa ni watu wanaowasaidia traders katika kudeposit...
Naomba mnishauri ni maeneo gani hapa Dar yanafaa kuanzisha biashara ya nafaka na mafuta ya kupikia kwa jumla na Rejareja?
Nimepata mtaji 10M nataka nianzishe store ya kuuza nafaka but naomba...
Watu wengi hawaelewi namna ya kuendesha Business Online
Kipengele muhimu usifanye kujaribisha
Zingatia sana
Jifunze mbinu za dominate sphere ulio ichagua
Bila kujifunza huwezi kufanya Kwa usahihi...
Naomba niende chap kwenye point yangu. Nimekuwa mzoefu na sehemu za mgodi kwasababu pia nimefanya kazi mgodini,huko buana kuna fura nyingi ambazo zina ela nzuri tu.
Mfano kwa mtu abaeweza...
In today’s digital age, social networks offer numerous opportunities for making money. With billions of users globally, platforms like Facebook, Instagram, Twitter, LinkedIn, and TikTok can be...
Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni.
Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina...
WAZIRI MAVUNDE AAGIZA LESENI ZA UTAFITI 45 MKOANI RUKWA KUREJESHWA SERIKALINI
-Ni Leseni ambazo hazifanyiwi kazi na kuzuia maelfu ya wachimbaji kuchimba
-Eneo lililorejeshwa la ekari 812,383 ni...
Habar wanajf naimani mko powa
Sana
Leo nataka tujadili kuhusuu hii idea siyo ngeni maana maduka kazaa nishawah ona so ntaka mnishauriii kidogo..
Nataka kufungua duka la vifaa vifaa vya...
Nimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.