Habari wakuu,
Nina wazo la 'win/win situation' inawezekana wewe ni mjasiriamali uko kwenye kundi hili:-
Muuza genge
Muuza mishikaki/ nyama mapande
Muuza matunda
Mama ntilie
Mtembeza karanga...
Habari?
Katikat pitapita mitandaoni na kusoma vitabu tofauti tofauti juu ya hizi mashine za kutotolesha vifaranga nimefanikiwa kutengeneza Moja yenye uwezo wa mayai 33.
Na nimefanya majaribio...
Habari wanaJF,
Kichwa cha habari kinajieleza natafuta partner ambae anajua mambo ya precious stones tuanzishe duka la kuuza vito vilivochongwa kama upo interested njoo pm...
Habari wadau,
Naombeni msaada wa mawazo,
Ninafikiria kuanzisha biashara ya kuuza kuku (hai) katika mkoa wa Dar es salaam. Mfumo niliofikiria kuutumia ni wa kutengeneza banda la nyavu kwaajili ya...
MABALO YA MTUMBA YA CAM STORE
1.Balo la magauni marefu Shifonie 750000 Dubai
850000 Canada PC 140+
2.Balo la magauni mix mafupi 580000 China
650000 Canada PC 120+
3.Balo la magauni mix 580000...
Habari, najua post zetu hazichukui nafasi kwa walio wengi, basi kwa wale tu wenye nia na pengine badae watakuwa na uhitaji wa huduma za ushauri na kuandikiwa "Writeups" kwa ajili ya mikakati yao...
Habarii, naomba kwa yeyote anae ishi Dsm na anaijua kariakoo nje ndani Hasa kwa wauzaji wa jumla wa vipodozi hii kwa mawakala wa bidhaa au waagizaji wa bidhaa direct from viwandani au nje ya nchi...
Wakuu kutokana na msukumo kutoka moyoni. Wakutoa elimu ya sanyansi na teknolojia kupitia katuni nimejikuta nimeingia katika biashara hii rasmi. Ila Sasa nimeshindwa kuelewa je ninacho kitoa kwa...
Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao...
Mambo vipi wakuu,
Nimeamua kujikita kwenye biashara ya daladala na bado nipo kwenye hatua ya utafiti. Nimepitia threads nyiiingi sana humu na watu wengi wanaoipiga vita hii biashara wanakuwa na...
Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu.
Inaumiza eeh!
Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania.
Hapa...
BIASHARA ZA SIMU NA KOMPYUTA NA UAGIZAJI: BEI ZETU ZOTE KWA BIASHARA TANZANIA
📦 Bei Nzuri Za Simu, Laptop, nHuduma za Uagizaji Bidhaa
➡️Kwa wale wanaoagiza bidhaa kutoka China, ikiwa ni pamoja...
Habari,
Mimi ni mpenzi Sana wa kusoma majarida mbalimbali online. Sasa siku moja nikukuta jarida likijadiliwa linalo husu kuagiza bidhaa kutoka china hadi dar kupitia Alibaba, Ali express, 1688...
RAIS SAMIA AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA USIMAMIZI MADHUBUTI WA SEKTA
⚫️ Trilioni moja yatengwa kwa ajili ya ununuzi wa dhahabu kupitia BOT
● Shilingi Bilioni 250 zatengwa kama dhamana ya...
Habari za majukumu wadau?
Natumai mpo shwari.
Kama title inavyoonekana, jamani naombeni muongozo kati ya Babati town na Dodoma ipi sehemu nzuri ya kufanya biashara ndogo ndogo na penye unafuu wa...
Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo;
Aina ya bajaji ni RE
Kianzio cha mkopo...
Assume unatangaza kazi zako kutokea mikoani kwenye social media hupati wateja kwenye mkoa wako, hatimaye wengi hutoka Dar.
Je, unawezaje kuwafanya wakuamini hasa wale wanaohisi kutapeliwa kila...
Habari za muda wadau,
Mimi shughuli zangu ni za kusafirisha mizigo China, India na Dubai. Nimefanya kazi na kampuni nyingi za usafirishaji, lakini nikiri wazi kuwa Kampuni ya Mo cargo wana huduma...