Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za majukumu wakuu, Naomba mwenye ujuzi na uzoefu juu ya masuala ya ujenzi anisaidie. Nahtaji kujenga nyumba ya vyumba vitatu kiwanja tayari ninacho na mshahara wangu ni laki 7 kwa mwezi...
2 Reactions
59 Replies
18K Views
Nilikuwa naangalia KTN hapa; naona twiga cement wame suspend uzalishaji wa cement kwa kipindi kisichojulikana kuanzia leo. Tutegemee bei ya cement kwenda chini zaidi. Wanyonge wa tz wanaendelea...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi wanajukwaa,nimekua nikituma mizigo Botswana kwa njia ya DHL ,ni garama sana hii njia kwa kweli, naombeni njia nyingine rahisi kwa wenye uzoefu kusafirisha mizigo kwenda Botswana kutoka Tanzania.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu habar zenu. Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni flani ya uchimbaji migodini . Mimi ni mkazi wa Mwanza.Niliacha kazi na kuanza kufatilia mafao yangu NssF na hatimaye baada ya mwaka mmja...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Walionunua ving'amuzi vya Azam, DStv, Zuku walifahamu kabla ya kuvinunua kuwa ni vya kulipia. Walivinunua kwa kazi nyingine, sio kwaajili ya kuangalia TBC, ITV, Channel ten, Clouds na Star tv...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari! Napenda kuuliza Hivi kwa mtu ambaye anaprofit consistently kwenye DEMO ACCOUNT na akaamua kuingia kwenye REAL ACCOUNT na kuanza kutradr atamake the same profit ? au kuna urahisi kwenye DEMO??
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mambo yamenifika shingoni wakubwa tunaosoma chuo bila mkopo ni shida tupu. Nimeamua kuweka vyeti vyangu bond kwa mtu atakae nisaidia laki saba nilipe chuo ili niweze kufanya mtihan ulioanza leo...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Mikopo ya bure kutoka ''Tala' Hongera lakini kuwa makini na wabongo! Wana bodi, Kuna kampuni moja ktoka Kenya inatoa mikopo bure kupitia simu bila muomba mkopo kutoa vielelezo kama kampuni...
3 Reactions
44 Replies
11K Views
Wadau salaam zenu, Najua hiki ni kisima cha maarifa na ndo maana nimeweka wazi nia yangu ya muda mrefu ili nipate mawazo yenu. Mpaka sasa nimeshanunua ardhi yenye ukubwa wa ekari tatu...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Katika kupambana na hali zetu ajira hamna sasa tunatakiwa kujiajiri. Kuna jiko limepatikana katika bar maarufu Mbagala na kwa uzoefu wangu jiko hilo linalipa sana. Jiko hilo limeachiwa kutokana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Za kwenu wapendwa,, nna vitz yangu hapa sema nlikua naomba ushauri niiunge taxify au niiunge uber na je huwez kujiunga zote mbili? wenye uzoefu wanisaidie
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Uzinduzi Wa NMB KliK, huduma mpya inayokuletea huduma za kibenki mkononi mwako kwa wepesi, urahisi na usalama zaidi. #NMBJourney #NMBKaribuYako.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Leo mapema nimetembelea MCB bank na kujionea mabadiliko makubwa yaliyofanyika hasa ktk huduma ambazo zimeendelea kutolewa na MCB bank ktk ubora wa hali ya juu kabisa. UKWELI KUHUSU MCB. Mwalimu...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
Heshma mbele wadau, Nimeamua kufanya kilimo sehemu za eastern na central zone,nilikuwa nahitaji trekta na kwasababu nguvu yangu kipesa si kubwa sana nimeona nitafute used tractor (napendelea...
1 Reactions
34 Replies
21K Views
Nimeona niongee machache leo kuhusu mzunguko wa pesa nchini, kwa miezi ya karibuni kumekuwa na malalamiko na manunung'uniko mengi kwamba pesa imehadimika, naungana na wote wanaolalamika na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
*HEKO BENKI YA CRDB KWA UBUNIFU HUU* *Kukua kwa teknolojia kumeleta mabadiliko mengi chanya yanayopelelea maendeleo katika jamii zetu. Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu. Leo nimekaa nikafikiria sana kuhusu namna ya kuongeza kipato. Hii ni baada ya kupiga hesabu za gharama za maisha hasa kwa upande wa kulipa kodi ya nyumba, nk. Mkakati niliouona...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina business proposal ni TV program itarushwa kila wiki. Watu wanne kila wiki watakaribishana chakula, host atatengeneza a three course meal, marks zitatoka kwa kila mtu. Atakae score The...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari za jumapili ndugu? Nilianza na bussines idea, nikaifanyia plan yakinifu sasa nimefka kwenye utekelezaji, Hapa nimekwama nusu, hela inayohtajka kwenye Plan yangu n almost 8M, mimi ninayo 3M...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakubwa zangu shkamooni. Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyoeleza. Mm najishughulisha na biashara ya nafaka kama mchele na unga,sembe na dona. Sasa nataka kupandisha thamani ya bidhaa zangu...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…