Katika kusherehekea msimu huu wa Sikukuu, kampuni ya mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na Watanzania kwa ujumla kampeni inayokwenda kwa jina la PESA NI M-PESA. Kupitia...
Vodacom Tanzania PLC imetimiza miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa huduma ya M-Pesa.
Kwa miaka hiyo kumi, Vodacom M-Pesa imejikita kwenye kutoa huduma mbali mbali kama kulipia huduma na bidhaa...
You can say it involves buying and selling stuffs, well you probably are true but what really business is?
Since I am not the only one who doesn't know, I am open to suggestions
Define business...
Waafrika popote walipo wanaokwerwa na wizi na uporaji wa mali zao unaofanywa na watawala wao wangefurahia wangekuwa na rais kama wa kwetu, JPM ambae kiuchumi hana mpinzani chini ya jangwa la...
Habari zenu.....
Naitaji Msaada wa machimbo mazuri ya Vitenge kwa dar es salaam coz naitaji kufanya biashara ya Vitenge but sijajua niwapi nitapata Vitenge vizr na kwa bei nafuu naitaji Msaada...
Misingi mitano ya taaluma ya Uhasibu na Ukaguzi.
1.Uadilifu (Integrity)- Mhasibu unatakiwa kuwa muwazi na muaminifu katika maswala ya taaluma na vinavyohusiana na kazi
2.Usawa (Objectivity)-...
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) linatarajiwa kuanza kupata faida mwaka 2023, kulingana na Mpango wake wa kibiashara wa mwaka 2017/2022. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema hivi...
Wakuu,
Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro.
Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k.
Je ni sehemu salama pia?
Asanteni.
Sawa, najua mnaambiana kuwa hakuna tajiri aliyeajiriwa. Acheni upotoshaji, kila tajiri kaajiriwa na biashara yake na anafuata masharti na matakwa ya biashara yake la sivyo hio biashara itampiga...
habari humu, nahitaji partner wakuanzisha nae biashara ya salon yakike, Nipo Dar.. Mimi najua kuseti, kufanya Makeup, kushonea weaving zote na kutengeneza wigs vizuri kabisa. Mtu nnaemuhitaji awe...
Naombeni msaada wa kujua haya ni madini gani na soko lake likoje,kwenye shamba la bibi yangu Tanga mombo wakati analima amekutana na mawe meusi halafu jembe limetanasa kama sumaku.Je hayo ni...
Dreamliner to make debut landing at JKIA
The Dreamliner Boeing 787 - which first took to the skies in September
The Dreamliner Boeing 787 - which first took to the skies in September - will...
Baada ya kuhamasika na kulima zaidi mihogo badala ya mahindi waliyoyazoea kama zao la biashara na chakula. Baada ya mafanikio ya wakulima wa kijiji cha Kwamsisi kupitia mihogo na wengine kuiga...
Heshima yenu wana JF..[emoji112]
Mimi ni mwanafunzi wa chuo naomba kufahamishwa biashara au fursa gani naweza kufanya yenye mtaji mdogo.
Naamini kuna wadau walisha soma na wengine wanasoma ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.