Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja...
Ndugu wapendwa napenda kujuwa kuhusu biashara ya fedha za kigeni (usd/ tshs) zinazofanywa kwenye mipaka yetu hususa Tunduma, nilipanda gari za IT zinazoenda mpakani, ndani ya ile gari kulikuwa na...
Habari zenu wanaJF
Lengo la uzi huu ni ukuomba msaada wa mawazo pamoja na ushauri wa hiki ninachofikilia kukifanya, maana naamini humu kuna watu tofauti.
Nadhani katika pitapita zenu mmekutana na...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jamani HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI LARA 1!! (Hii sio dini na mimi sio nabiii so sitegemei wote mseme AMINA kuitikia pasi kupinga hoja yangu...
Naomba kuelemishwa Wana Jamiforums. Wiki iliyopita thamani ya Shilingi ya Tanzania ilikuwa $1=2450 leo thamani ya Shillingi ni $1=2498. Hivi kwa tarakimu hizo mfumuko wa bei umepungua au...
Wabari za kazi wakuu.
Huko nyuma nilileta Uzi kuhusu TRA kunikadilia kodi kubwa tofauti na biashara,
Nikachukua ushauri wenu wengi wakiniambia niende kwa meneja wa tawi lakin hakunielewa...
Heshima kwenu Wakuu,
Tafadhari naomba kufahamishwa Vibali vinavyohitajika ili mtu aruhusiwe kutoa huduma ya fumigation. Pia kama kuna taratibu zozote za kufuata au vigezo anavyopaswa kuwa navyo...
Mr. Ali Mufuruki is the Executive Chairman of InfoTech Investment Group LTD, based in Dar es Salaam, Tanzania. The family owned Infotech Investment Group Limited has controlling interests in M&M...
Poleni na shughuli za utafutaji wajasiriamali.
Mimi ni kijana mjasiriamali,kwa sasa natengeneza sabuni za maji na pia Niko mbioni kutengeneza za vipande na kisha mafuta ya ngozi na nywele...
Habari zenu wakubwa
Nimepata line ya kuingiza sukari Tanzania baada ya kukutana na wafanyabiashara hiyo Dubai (sukari haitokei Dubai bali hawa jamaa wana base hapa)
Naweza kupewa tani nitakazo...
Habarini wadau
Naomba were useful, njia ipi ni rahisi na bora kupokea pesa online ukiachana na Skrill, net teller wallets na western Union, Nani wengine ni Bora na hawana usumbufu?
Sent using...
Fake S-26 Breast Milk Substitute invades East Africa
Fake S-26 Breast Milk Substitute has been spotted being sold in East African supermarkets and shops. S-26 which is the most popular BMS...
Habari wakuu,, natumaini ni wazima wa afya njema,, kwa wenye matatzo Mungu awafanyie wepesi mpone tuendelee na harakati za kujikwamua kimaisha.
Naitwa Brown Job wazo langu kuhusu biashara ya...
Habari,
Mimi ni kijana mwenzenu mwenye ndoto ya kufanikiwa nakufika mbali kimaisha na kusaidia watu wasiojiweza,watoto yatima,mama wajane,wazee wasiojiweza.
Nimemaliza Chuo kikuu mwaka 2015,kwa...
Wadau heshima kwenu..
Kichwa cha habari hapo juu kinahusika kwa asilimia zote 100%
Wajuvi wa busness Nikiwa na mtaji wa Million 10 biashara gani naweza kuifanya nikiwa nchini Marekani?
Kijiji Kimoja Alikuja Mchina Akasema Anahitaji Paka (Cat/ Nyau)[emoji250],
Ananunua Mmoja Kwa Bei Ya 20,000/=, Basi
Wanakijiji Wanahaha Kusaka Paka[emoji250],
Wanawaleta, Mchina Ananunua Wote...
Habar wadau?
Mimi nina kqmpuni,nina ofisi kubwa ,nina vibali vya kufanya kazi za serikali kweny taasisi zake!
Wakati nafungua nilikuwa natafta wau nipate 10m kwa ajili ya biashara ya lending...
Naomba nifahamu changamoto na faida ya kufuga mbuzi kibiashara.
Maana leo nimetazama kwenye TV habari kwamba mbuzi wa elfu sabini ameuzwa lakj na sabini.
Hivyo nimetamani kufuga mbuzi kuanzia leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.