Habari wandugu!!
Naomba kama kuna yeyote aliye maeneo au ana contacts reliable za kibiashara hasa Mbao na mazao mengine kama Korosho kutokea ukanda huo wa Mtwara Wilaya ya Nanyumbu. Tuwasiliane...
Habari Wadau!
Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu ni bidhaa gani zinazosafirishwa kibiashara kutoka Tanzania kwenda Nchini Italia..iwe Mazao au Chochote anachokifahamu. Natanguliza Shukrani zangu...
Ndugu wana JF mnanishaurije nahitaji anzisha service ya udalali (kampuni ya kuuza, kupangisha n.k) vipi mazingira ya dar yanaruhusu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndugu zangu JF?
Kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, nimekuwa na wazo la kujiajiri kwa kuzingatia taaluma yangu na ujuzi kiasi katika masuala ya sheria ya kodi na usimamizi, na pia...
Nimeona press release ya Kenya Revenue Authority (TRA ya kenya) kuhusu kucharge VAT kwenye bidhaa za mafuta.
Wachumi, wataalam wa biashara hili suala lina effect ipi kwenye uchumi?
Je tunaweza...
Wakuu Salama,
Nahitaji kusajili kampuni ambapo ntaanza na mimi kutafuta tenda au kazi ndogondogo(digital marketing) kutoka kwa makampuni madogo madogo au watu binafsi.
Nakwepa kutumia makampuni...
Habarini wakuu
lengo langu kubwa ni kuwafikia wateja walipo kwa bei ile ile ya kariakoo, kuwasaidia wafanya biashara wanaotoka mikoani na kufata mzigo, mtu mmoja mmoja anayefuata mahitaji...
Nguvu Ya Rangi Katika Biashara Zetu
Na: Albert Sanga, Iringa.
Leo nitawapitisha wajasiriamali katika somo muhimu kuhusu rangi. Je, unafahamu chimbuko la neno yeboyebo hapa nchini? Twende pamoja...
Habari zenu Watanzania,
Ninataka kuagiza mashine ya kuchimba visima ila sijui ni vitu gani muhimu vya kuangalia kwenye mashine.
Kuna hii hapa nimeona kama iko poa sana ila nahitaji ushauri kama...
Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia...
*GOOD NEWS: TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YATANGAZA FURSA KWA VIJANA WOTE WAJASIRIAMALI NA WABUNIFU*
[emoji383] *Million 40.Tshs watapewa Kwa kila wazo bora ambalo litaleta maendeleo...
Wakuu habar, nategemea kusafir kwenda dubai mwezi ujao.
Naenda kununua vifaa vifuatavyo
Tv za inch 32 nne, zenye thamanai ya kama dirham ya UAE 600 kila moja , xbox 1 x yenye thamani kama ya...
Heshima kwenu wanajamii wenzangu tunaokutanika katika mtandao huu. Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu na mazingira ya kibiashara kuwa magumu ni awzi...
Habari ya asubuhi wakuu,
Naomba ushauri ,ni bank gani nzuri kufungua account na Kwa kigezo kipi kuangalia kabla ya kufungua . Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
hello,
nikiwa kama mwakilishi wa RESEARCH AND CHEMICAL ANALYSIS AGENCY (RCAAT) napenda kuwahabarisha wajasiriamali kuwa tunatoa msaada wa (majadiliano ya ubora wa bidhaa) consultation, (upimaji wa...
Kama vifaa vilivyomo kwenye makontena ya Mh. Makonda bandarini vitagawiwa Tanzania nzima basi sina tatizo na kusamehewa kodi.
Lakini kama ni kwa Dar es Salaam tu siungi mkono kwasababu itakuwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.