Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habar ya jumapilli samahanini kwenye mpangilio wa uandishi siko vizuri ilimradi ujumbe tu viusemi unaosema hamna mfanya biashara anaye fanyia hasara Ndo yametimia Viongozi wa Africa walikusanyana...
0 Reactions
6 Replies
817 Views
GAVANA MKUU WA BENK YA TANZANIA AMEFAHAMU KUA BITCOIN INAENDELEA KUKUA HAPA NCHINI Gavana wa bot bwana benno ndulu ameweza kuzungumza na gazeti la THE GUARDIAN, nakusema kua watanzania wanatakiwa...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu karibuni tupeane mawazo tofautix2 kwa biashara inayohusu supply ya bidhaa,Naomba tujadili mbinu za kufanya supply ya uhakika bila kukera wateja,Changamoto zake ni zipi na Faida ni zipi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mfano umeomba visa ubarozi wa ufaransa unataka kwenda paris kwenye maonesho lakini ukawa hujui english je wakati wa enterview unaruhusiwa kuongea kiswahili au ndio utakuwa visa umekosa sababu...
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Waliteremsha bei ya castle lite kutoka 2500 hadi 1500 kwa lengo la kuua soko la serengeti lite lakini wamechemka mapeeeema saa nne asubuhi sasa hivi bia za castle lite ni 2000 wakati serengeti...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina kazi nzuri kwa mwezi sikosi kama laki tano na kidogo na nina mwaka tu kazin na nimepata pesa kama milion 28 hivi na sina dira nzuri ya mafanikio...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari wana jf Nimeona ni vyema kuanzisha thread hii ili watu waweze ku-share fursa mbali mbali za kujiingizia kipato walizowahi kuzifanya ama wanazozifanya kwa sasa au hata zile wanazozifikiria...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu naombeni mnishauri nmetengeneza Contena kubwa la saiz ya chumba kimoja cha saizi sasa nmefikiria biashara ya kufanya kwenye ilo contena ila kuna mtu kanipa wazo kuwa nilipeleke maeneo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za mida hii wakuu Kama kawaida, pamoja na mambo mengine tumekuwa tukitumia majukwaa mbalimbali katika forum kwa malengo tofauti tofauti. Elimu ni moja kati ya malengo hayo, leo tuangalie...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
si mzuri sana katika kuandika vichwa vya habari na kwa hapa naomba nikiri lile swali la kwanza enzi zetu la kiswahili nililiruka sikuwa mzuri kwa upande huo hivyo mnaweza kunisahisha ili wakati...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu...najua hapa kuna watu ambao tunaweza kusaidiana kimawazo kufikia malengo...nilitaka kujua wadau kufungua duka LA nguo za wanawake kwa sasa serikali inatakiwa kulipa ushuru kiasi gani...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nimekutana na baadhi ya wadau wa hotel kubwa kubwa hapa Arusha pamoja na Tour operators wanasema utalii umeongezeka kwa kasi katika msimu huu ulioanza mwezi wa sita 2018. Na sababu kubwa ni...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Hakika nawaza sana Maisha ya nyuma na ya sasa hapa Tanzania kuhusu swala la umeme,mabadiliko ni makubwa mno,mbali na hitilafu za kawaida kama Transformer kuungua na nguzo kukatika , swala la umeme...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum kwa jina naitwa Herman niko mwanza elimu yangu n kidato Cha 4 na nimesoma chuo cha mipango. Nia ya kuandika Uzi huu nilikuwa na wazo la biashara ya accessories za simu na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, nimekuwa kwenye ajira mwaka wa pili, nimeona biashara zinalipa, haswa kilimo biashara, nahitaji ushauri na jinsi ya kupata masoko. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
63 Replies
8K Views
Tujuzane Mbinu za utengenezaji, Faida, na Hasara za kutumia mkaa huu wa karatasi, , Kwa wenye ujuzi Tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu habarin za jioni..naombeni ushaur na maelekezo ya kitaalam coz naamin wataalam wapo humu...inshu ni hvi nataka nifanye biashara ya kupiga muziki kweny matukio kama sherehe madisco n.k sasa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Nimekuwa na wazo la kuanzisha utengenezaji wa mishumaa iliyowekewa dawa inayofukuza mbu. Nimefuatilia baadhi video youtube zinazoonyesha namna ya kutengeneza mishumaa nikajifunza na...
2 Reactions
2 Replies
6K Views
Nina wazo la kuanzisha "factory" ya kutengeneza Pencils. Eneo ninalo, Nyololo, Iringa. Najaribu kutafiti ni aina gani za Machine na VIFAA vya kufanyia uzalishaji... Pia upatikanaji wa Raw...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wenzangu, jana nimechelewa kidogo kuangalia kikao cha diaspora na waziri wa katiba na sheria mh. Prof Paramagamba Kabudi, ila nikasikia diaspora mwanzoni kabisa walikua wameainisha fursa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom