Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la kampuni mbalimbali zinazokopesha kwa njia ya mtandao.Labda nimechelewa sana kuzisikia habari hizi maana nimeona kampuni zingine zina miaka zaidi ya...
Habarini wanaJF,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nataka kufanya biashara ya bodaboda na kirikuu, sasa nahitaji ushauri wa vtu vya msingi navyopaswa kuvifanya kabla ya kumkabidhi dereva...
Baada ya kutoka chuo kikuu, niliamua kufanya biashara ya daladala ili maisha yasonge, cha ajabu hii biashara ni pasua kichwa. Utasikia mara tochi, bao mara gari imeharibika nk
Binafsi napenda...
Naelewa kuwa dhahabu ni kitu cha thamani sana. Nimejionea migodini jinsi inavyo tumika gharama kubwa sana ili kupata kitu kiasi kidogo kinacho pimwa kwa ounce tu, lakini hata hivyo kidogo hicho...
[8/9, 18:05] mwangosaid: *PURIFYING EXFOLIATING CLEANSER*
*SPECIAL FOR MEN*
-Hii ni sabuni special kwa wanaume ya kuoshea uso..
*Uchunguzi unasema ngozi ya mwanaume huchelewa sana kuonesha...
Habarin humu ndani
kwanza kabisa napenda kujua kama kunatofauti ya kodi kati ya kitambaa cha nguo na nguo iliyokwisha shonwa pindi vinapoingia nchini kwetu?
Wanachaji asilimia ngapi au kama...
TANGAZO KWA UMMA JUU YA UUZAJI WA VIWANJA KATIKA
ENEO LA GOLANI KATA YA KIMBIJI NA YALE YALE PUNA
KATA YA PEMBA MNAZI
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa kushirikiana na Kampuni ya Ardhi Plan...
Wanajamvi naomba kufahamishwa ni mambo gani yanaitajika ili kuweza kusafirisha dagaa na uduvu kwa ajili ya chakula cha kuku
Naomba kwa mwenye kuelewa anifahamishe
Wakuu
Ninahitaji milioni nne pekee kuendeleza biashara zangu. Nipo tayari kuweka dhamana ya vyeti vyangu vyote kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu.
Mwezi December nitarejesha mkopo hata ikiwa...
Habari wana jf
Nilikuomba naomba kujua machimbo yanapopatikana mapochi/ handbag za mtumba ambazo ni quality grade one ili nikajumie nianze biashara
Msaada please
Leo kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 4:00 usiku kutakuwa na mafunzo ya biashara ya vipodozi kwa watu ambao wanaipenda biashara hii na wanafikiria kuifanya.Utajifunza taratibu za kufuata kisheria...
I’m looking for Managing Partner for a Logistics Company.
The Company is one year old and have done number of Project with Various Organization now we have acquired New Project and wish to have...
sis ni mawakala wa bima za aina zote, tukiudumia bima kutoka makampuni yote ya nchi nzima
1. magari na pikipiki
2. bima za afya
3. bima za moto
4. bima za wizi
5.bima za mizigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.