Wakuu habari?kama kichwa cha habari kisemavyo .
Hatua zipi nizifuate ili niweze pata laini ya biashara,kama vile tigo pesa na m.pesa.
Hatua hizo ziwe za kiserikali na kimakapuni ya simu.
Pia...
Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine...
Kama wewe mwandishi nzuri wa vitabu, tumfate Diamond platinum tumweleze tunataka kuandika kitabu kinachohusu wewe then kikikamilika akiuza kwasababu maarufu tunapiga pesa, atahusika yeye...
Habari wanabodi!
Nimekuwa nikifanya tafiti nyingi kwa nini Tanzania hatuna wafanya biashara ma Millionaire wengi?,kwa nini biashara nyingi Tanzania zinakufa kila Mwaka?,kuna baadhi ya watu...
Heshima kwenu wadau, ningependa kupata muongozo wa hii biashara ya bookshop kwa wenye uelewa nayo niweze kujua mambo kadhaa. Ni wapi naweza pata mzigo kwa bei poa. Ni vitabu gani hasa natakiwa...
Kilimo ni Sekta ambayo imekuwa ikitambulisha bara la Africa kwenye Dunia inayo tuzunguka. Kitu cha ajabu ni kuwa watu wachache sana Hupata thamani halisi ya Sekta hii pana na yenye faida.
Kwanza...
Tupo is a major business listing directory in Tanzania. Whether you’re looking for a great coffee shop nearby, a new salon, or the best services in town, Tupo is your city guide to finding the...
Message…Napenda kujua bei ya vile vifaa au zile helufi zitumikazo kutengenezea kacha za mkononi kwa ujumla vinauzwa kwa bei gan nataka kuanzisha ujasriamal
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna fununu ambazo zinasambaa sana kuwa bei ya bia na soda itashuka bei mda wowote.. Kwa aliye na uhakika atuambie na ni tarehe ipi itakuwa hivyo.
Habari wana JF,
Imepita muda tangu nitangaze wazo la kilimo cha biashara cha michungwa na tathmini ya mapato pamoja na gharama zake ingawa nimepata changamoto za maswali mengi kutoka kwa...
Wakuu,
Natafuta shampeni zisizo na vilevi ambazo bei yake haizidi sh. 5,500. Nahitaji nyingi kidogo
Tafadhali kama unafaham naomba uweke maelezo wape naweza pata au weka namba ya simu...
Wanajamvi habari zenu.kwa wale wanaohitaji uyoga mweupe fresh(oyster mushroom) basi naomba tuwasiliane kwa namba 0753289393.nipo dar maeneo ya mbweni na ukihitaji unaletewa mpaka nyumbani kwako...
now let's got into the world of investments and look for the secrets of the rich in this world of thinking and growing rich up to the time you ritire working.am concerned that too many people are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.