Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ndege mpya ya ATCL ya Dreamliner, inatarajiwa kuanza safari zake za tarehe 29 Julai 2018 kwenda Mwanza na KLM kwa kishindo baada ya tiketi kuisha mpaka za kufikia tarehe 18 Agosti 2018. Hongera...
7 Reactions
248 Replies
32K Views
Wakuu habari zenu... Nataka kufungua kampuni ambayo itachangia sana kupunguza makali ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania. Tatizo ni kwamba sina hata dala mfukoni. Sitaki kushare idea hapa ila...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kama upo Dodoma cheki Na 0712-193505
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Freezer ya kisasa imetumika mwezi mmoja tu inauzwa UBUNGO Kibangu Dar es Salaam, ina teknolojia ya fast freezing, unaweza kugandisha au kutumia kawaida kama friji, ni size ya kati ina uwezo wa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu, Kwa anayeuza battery ya PC anichek PM PC yangu ni HP elite 8440
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MLIPU inch 21 flat screen IPO Dodoma cheki 0712-193505
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shida ipo wapi mbona serekali imekaa kimya haitoi tamko lolote kuhusu huu mradi maana tunapata tabu kuna shida gani katika hili?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habarini?naombeni ushauri wa kufanya biashara ya mahindi kutoka mbeya mpaka mwanza. Ni hatua zipi za kiserikali natakiwa kuzifuata ili niweze kupata kibali cha biashara iyo. Pia mwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina wazo la biashara ambalo ni zuri na kwa mtaji wa m5 unawezo kuingiza laki 8 kwa wiki mbili au m1 kwa mwezi! Utapiga hesabu Nimekwama kwa sababu Ya mtaji Hivyo anae taka kufanya aje pm...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau salam, Kama title inavyojieleza naomba kujua kidogo kuhusu Nokia n9 *specifications *bei yake ASANTENI SANA
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Gari linauzwa corrola e muundo wa runx namba D kwa 9m
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanabodi Nina mtaji wa mil 5 naomben mawazo ya biashara ya kufanya. Binafsi nawaza kufungua ofisi ya masuala nilosomea na ninayofanyia kazi, (professional office) then niweke na...
3 Reactions
46 Replies
8K Views
Wadau kwema?? Humu jamvini kuna Uzi mzuri na wenye mafundisho mazuri ya ujasiriamali ambao bro ONTARIO aliuanzisha kwa ajili ya kufundisha biashara ya fedha za mataifa mbali mbali. Sasa sijui...
4 Reactions
26 Replies
8K Views
mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki...
18 Reactions
375 Replies
50K Views
Natafuta frem ya kupanga Dar es salaam,hasa kwa maeneo ya KAWE iwe barabarani na TABATA SEGEREA KITUONI...asanteni
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Wasalaam great people Ladies and gentlemen Kuishi kwingi kuona mengi. Hakika tunaishi katika dunia amabayo tunaanza kuona watu wenye vipaji au hobbies zoa wanazigeuza kuwa biashara na hakika...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama bango linavyosomeka hapo juu weka order ya bidhaa uitakayo ambayo kama itakuwa ndani ya uwezo wangu nitakuletea mpaka DSM Ubungo kisha utanilipa gharama yake ya hiyo bidhaa. Ukiwa seriously...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Mimi nimenunua simu mpya kabisa ya tecno,mkataba nimepewa ya mwaka mmoja ila nimeshatumia hii simu kwa Sasa ni mwezi kasoro na inanisumbua Sana upande wa spika & maik,Simu nimenunua tah.5/7/2018...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau, kama heading inavyojieleza ni kuwa natafuta mtu serious, narudia tena mtu seriuos wa kufanya nae partnership kwenye biashara ya Usafi wa maofisini na food products packeging. Tayari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za leo wanabodi. Naomba kujua Jambo hili. Katika ukopaji wa kawaida huwa tunalazimika kuwa na Shaman ya Mali isiyo hamishika na pengine iwe na thamani sawa au zaidi ya kiwango cha mkopo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom