Habari za majukumu wakubwa na wadogo..
Niliwahi kuishi Kigoma karibia miaka miwili,.. Kwa bahati nzuri kipindi nahama niliuza vitu vyangu vyote vya ndani ispokua kitanda na godoro tu.
Lakini...
UNDP inaendelea na tafsiri kwamba maendeleo ya watu ni kutanuka kwa machaguo. Uhuru na uwezo ni maeneo yenye tafsiri pana kuliko mahitaji ya lazima. Hapo maana yake ni kwamba maendeleo ya watu...
Napata wakati mgumu kuelewa, hizi bank ukienda kuuliza riba ya mkop wa kias flan ni sh ngap.. Wanakujibu kwamba ukichukua kiasi flan let say 13m rejesho lake ni kiasi flan.... Bila kukuambia...
[emoji666]Ipo mahungu-jijini dodoma
[emoji666]kiwanja chake kimepimwa(ukubwa wa square metres 450)
[emoji666]Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja kikiwa ni master.
[emoji666]Ina...
Kwema Vijana Wenzangu ?
Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia...
Habari wakuu je ni wapi naweza kupata mkopo wa haraka wa million moja na nusu m1.5 kwa dhamana ya million 3 msaada wenu tafadhali
Locatio:Dar es salaam
Vitu vya dhamana
1.washing machine...
Kuna mobile application nataka kutengengeza. Nahitaji developer mwenye uzoefu kwa ajili ya kushirikiana nae. Awe na muda na yuko based dar es salaam. Please pm ili tuwasiliane.
Milk and honey nourishing gold sugar scrub
-Hii ni scrub maalumu yenye mchanganyiko wa maziwa na asali.
-hii ni body scrub na kazi yake ni kuondoa seli za ngozi zilikufa na kuucha mwili wako ukiwa...
Assalam wana jukwaa
kichwa chajieleza, nina mzigo mkavu/cargo upo DSM lengo ni kuusafirisha hadi mikoani hivyo nahitaji magari makubwa yanisafirishie. magari yawe na sifa zifuatazo
i/makubwa yenye...
habari wanabodi napenda kukaribisha madalali na wamiliki wa vyumba na wengineo wote ili nipate chumba , eneo ninalotaka
mikocheni, oysterbay au kinondoni ili niwe karibu na eneo la kazi , chumba...
Habarini wakuu
Kama wiki zimepita mimi na mwenzangu tumeanzisha biashashara ya kusambaza nafaka sasa tumepata tenda la kusambaza kama tani 5 hivi na mtaji wetu ni mdogo hautoshi hivyo...
Wazee huyu jamaa inaonekana kuwa amejipanga sana kibiashara kutokana na wingi na aina ya matangazo yake.
Nani amjua mwenye biashara hii kubwa na muhimu ya NEEL salt?
Dada anataka kufanya Biashara,naweza kumchukulia 1m kwenye kicoba. Lakini Marejesho ni baada ya miezi 3. Je afanye biashara gani ambayo at least ataweza kulipa marejesho. Wale wa mizaha bora...
Jamani huu utaratibu wa benki kukopesha watumishi kupitia simu (mobile) haukiuki utaratibu uliowekwa na serikali wa 1/3 ya mshahara wa mtumishi ,utaratibu wa ukomo wa kukopa unafuatwa ?kama kuna...
Habari wadau
Nina Mashine ya popcorn mpya inatumia umeme! nahitaji mtu wa uifanyia kazi. Awe mwaminifu. Nipo Lushoto Tanga. mahali pa kazi sio lazima huku maana huku mim nipo kwa muda...
Ndugu wanajamvi kumekucha salama? pole na hekaheka za maisha.
Naomba kujua naweza pata wapi elimu juu ya water recycling kwasababu nataka kuingia kwenye ufugaji wa samaki hapa Dar, kwa kutumia...
Habari wadau,naomba ushauri kidogo,ukiwa mfano umekodisha frame na ukaamua kufungua au kuweka bidhaa za matunda,spices na mbogamboga,Je ni vibali gani utahitajika uwe navyo?msaada kwa anayejua...
Habari ndugu zangu tafadhali tujuzane juu ya biashara ya machine ya kukoboa na kusaga nafaka.
1.Mashine yenyewe; kiwango cha chini kabisa cha fedha cha kuweza kununua machine yenye tija ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.