Habari zenu wakuu .....naomba niende moja kwa moja kwenye mada ...juzi juzi nilikuwa nasoma investments habari nikabahatika kuona kumbe unaweza kukopa nikaclick then nikapewa contact pamoja na...
za mda huu wakuu...
katika kuhangaika huko na kule kutafuta mtaji
hatimae nimefanikiwa kupata iko kias kidogo,,
biashara gani inaweza kunitoa?? ndugu zangu tuweke utani pembeni nipo serious...
wanajanvi mimi niko Moshi na nina kaincubators kangu sasa nilitaka kuanza biashara ya kutotoresha vifaranga na kuwauzia wafugaji mtaani kwangu, sasa nashindwa kujua ni wapi nipate kuku parents wa...
Wadau kwa wanaohitaji asali bora kabisa original tutafutane inbox. Parking zetu ni 1 kg na 500 g
Bei ni elfu 10Kwa kg na elfu 5 kwa 500gm. Ukihitaji kwa ndoo pia tuwasiliane.
Nicheki tu inbox...
Wakuu wa JF,
Kwanza natangulia shukrani kwa uongozi wa JF kwa kutupatia na sisi wajasiliamali fursa ya kujadiliana na kupeana uzoefu wetu humu.
Baada ya shukrani nawataarifu kuwa tunauza...
Mmiliki wa mtandao wa Kijamii, Facebook amepoteza zaidi ya Dollar Billion 15 ndani ya dakika 5, ambazo ni zaidi ya Bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2018/19
Amepoteza kutokana na kufanya...
Jaman wanajamvi habarini za humu; naombeni maelezo na habari yeyote na mambo ya kuzingatia kwa mtu anayeifahamu baraidi vizuri tayari.
Nina mpngo wa kuhamishia biahsra zangu ndogo ndogo bariadi...
Katika kuendelea kusogeza huduma zake kwa wananchi zaidi na kutoa masuluhisho ya kifedha, Benki ya Azania leo imezindua huduma mbili mpya maalumu kwa ajili ya wastaafu kutoka katika mashirika...
Wakuu salama!
Najaribu kutafakari wazo la Biashara ambayo nitakuwa natoa huduma kwa wenye maduka ya reja reja.
Naomba mwenye uzoefu anisaidie wazo au kudadavua ni huduma gani hapo ulipo ambayo...
Ningependa kujua gharama ya kuanzisha mashine za kukoboa na kusaga nafaka
+kinu cha kusaga na motor ake hp
+kinu cha kukoboa na motor ake 24hp
+gharama zake inakuwaje na zinapatikana wapi kwa bei...
Habari wana bodi!
Leo naomba tuangalie miongoni mwa sababu za kwa nini biashara nyingi kushindwa kubaki sokoni kwa ndani ya miaka mitano japo biashara nyingi huenda hata hii miaka mitano ikawa...
ndug naomba msaada katika hili, niko na account yangu ya kawaida tu nimefungua crdb ila siku za karibuni nimepata wageni wangu wa njee ya nchii wamenipatia usd kias kama usd 2000. Sasa naomba...
Viazi lishe ni aina ya viazi vitamu vyenye very high carotene na fibres with Vitamin A
Vinasaidia mtoto kutokudumaa . pia huongeza uwezo wa nguvu za kiume yaani more fire kurudisha heshima...
Hii habari Nimeisoma zaidi ya mara tatu bila kuchoka kwani mahudhui yake yamekonga sana moyo wangu. Huyu ni kijana mwenzetu ambaye tumebahatika kumuona (aidha kwa macho,au hata kumsikia) kwa namna...
Waungwana habari zenuu..... Najua jambo likiletwa huku hakiharibiki kitu maana huku wapo watu wakila namna....
Niende moja kwa moja kwenye key point...
Nataka kuanza kuafanya biashara ya dagaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.