Wana JF
Najua kati yetu tumeagiza gari nje na kwa aina moja ama nyingine tumeshiriki au binafsi au kwa kumtumia agent kutoa gari bandarini.
Naomba model ya ukokotoaji wa gharama za kutoa gari...
Wana jf naomba kwa anayejua anijulishe ni utaratibu gani unafuatwa ili kuingiza kampun kwenye list ya service provider ya government procurement services agency,na ina faida gani kwa kampun...
Kwa wale wazoefu wa kuagiza mizigo Kikuu.
Ningependa kujua hatua ya mwisho baada ya kutrack na ikaonyesha time out.
Nimeona mzigo tayari ulishachukuliwa na rider siku tatu zilizopita.Nini...
Habari wana jamvi.
Kuna jamaa yangu, ana kampuni ya usafi, ali omba maombi ya kusajiliwa na gypsa. Sasa majibu yametoka na amekosa zabuni. Kwa mujibu wa Gpsa, zabuni ni kuanzia mwaka 14/15/16/...
Moja ya sehemu ambayo utawapata watu siriasi Tanzania ni hapa jamii forums, lakini kwa sasa jukwaa limekuwa na watu wa ajabu ajabu ambao wanauwa jukwaa zima na kufukuza watu wenye tija kabisa na...
BENKI ya "Bank Of Africa Tanzania (BOAT) imetangaza neema kwa watumishi wa umma baada ya kushusha riba ya mikopo kwa kada hiyo kutoka asilimia 14 hadi 11.
Aidha, benki hiyo imepunguza masharti ya...
Wanahisa wa Benki ya CRDB wametoana jasho kuhusu kuwawajibisha wakurugenzi wa bodi hiyo ambao wameidhinisha mikopo kwa watu ambao wameshindwa kurejesha kwa wakati, hivyo kusababisha kushuka kwa...
Niende moja kwa moja katika mada:
1. Mikate. Kila kipindi uzito na ukubwa (weight and volume) hupungua, Bei iko palepale au inapanda!
Swali kwa TBS: Hiyo nembo yenu inahusu kifungashio au bidhaa...
Ndugu wana jf natumain m_ wazima wa afya uzi
M napenda sana kujiajiri ili niwe free na mambo yangu na harakati zingine za maisha . Nilikua napenda kuuliza wanabodi wenzangu ,Ivi kunauwezekano wa...
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa Benki ya CRDB unaofanyika leo Mei 19, 2018 jijini hapa, wamemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk Charles Kimei kuendelea kuitumikia...
Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia...
Unataka kufanya biashara, unaenda TRA kwa ajili ya kupata TIN, TRA wanakwambia lete mkataba wa pango, wanakufanyia assessment na wanakwambia unatakiwa ulipe Rent Income Tax na Stamp duty...
Mara nyingi nimekuwa nikimsikia MH. Rais wetu jpm kuwa kwa mazao ya kibiashara chini ya tani moja hakuna kutozwa ushuru, naomba kwa mwenye kujua zaidi anieleweshe, mfano mm nabeba Korosho...
Habari wana JF,
Nikiwa kama kijana ambae natafuta mafanikio kwa njia ya halali navuja jasho asubuhi machana kutwa nikitafuta mafanikio na kujenga msingi wa familia yangu waweze kuishi maisha...
Heshima mbele wakuu..Nina safari ya Lusaka Jumatano ijayo ambako nitakaa kwa wiki moja.
Ni nataka kununua kwacha milioni moja ambazo nitazitumia kama pocket money kwa kipindi chote nitakacho...
Siku chache baada ya Watalii 300 kutoka Australia kutembelea nchini kwa mara moja,kundi lingine la Watalii zaidi ya 100 kutoka Uswis limewasili nchini na kutembelea vivutio vya Wanyama katika...
HAKUNA MSHAHARA UNAOMTOSHA MTU, UKIONA MSHAHARA HAUKUTOSHI, ACHA KAZI.
AU FANYA VIBARUA VYA KAWAIDA MTAANI TU. AU NENDA KWENYE SIASA
UKIINGIA KWENYE SIASA, JE UNA KAMATI NZURI YA WATAALAM WA...
★ PATA MKE SAHIHI
Achana na wanawake Warembo ila Kichwani ni Zero. Tafuta mwanamke ambaye sio tu ataunga mkono maono yako lakini pia atakusukuma ili uyafikie maono.....
Mwanamke atakaye...
Hivi kanuni ipi ni nzuri kupata future value baada ya kupata thamani ya year one. Na future interest rate mara zote inatakiwa iwe kati ya ngapi na ngapi