Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Salaamu kwenu! Moja kwa moja kwenye Mada. Mheshimiwa Rais najua unapitapita humu JamiiForums au hata watu wako wa karibu pia. Nina ombi moja kwako kuhusu hali ngumu ya Biashara hapa nchi kwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Karibu wiki ya pili sasa hii benk imekua na tatizo,wazee wanatoka mbali kufuata huduma wanafika wanaambiwa network hakuna,wanajikuta wakikaa masaa mengi sana kusubiria wapate huduma za...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Naomba anayefahamu ukweli kuhusu hatima ya DECI anifahamishe
0 Reactions
16 Replies
6K Views
HUWEZI FANIKIWA KWA NDOTO ZA MWINGINE, KUWA DEREVA KAMILI WA MAISHA YAKO. Hivi umewahi kujiuliza ingekuwa vipi kama ungeijua siku yako ya mwisho duniani? Je! Ungeendelea kuishi na kutenda Kama...
8 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu, tupeane uzoefu kuhusu AIM GLOBAL. How they work na vp Hii biashara inalipa au utapeli tu??
0 Reactions
3 Replies
552 Views
Wananchi na madereva tax wa mkoa wa mwanza wamehimizwa kuchangamkia fursa mpya ya usafiri wa kidigital wa taxify. Taxify itaongeza ajira na kipato kwa madereva tax jijini mwanza na unafuu wa nauli...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
habari, kuna video clips nimeziona youtube za kitu wanachoita epoxy. haya ni material unaweza mwaga kwenye floor au meza au viti na kufanya viwe na top kama ya glass. nauliza hapa Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wanajukwaa? Kwa kutumia mifano iliyowahi kutangazwa hapa nchini,naomba kueleweshwa maana ya hizi financial terms na mifano ya jinsi zinavyo fanyika kwa hapa nchini kwetu. Msaada wenu wajuzi...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Naomba kufahamishwa wadau mashirika ya ndani ya nchi na nje ya nchi ambayo yanapokea na kutoa support kwa makundi ya vijana, na asasi za serikali. Naomba tufahamishane kwa kuweka email ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Brela kuanzia mwezi kwanza mwaka huu mlifanya mabadiliko kwenye mfumo wenu wa usajil majina ya kampuni. Lakin mabadiliko hayo yamekuwa shida kwetu watumiaji wa mfumo huo. Kwani mlitutumia user...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ni dhahiri kwamba mpango Wa rais wa Marekani Donald Trump kulinda ajira za ndani ya US chini ya Sera yake ya Amerika Kwanza inakwenda kuibua vita kubwa ya kibiashara. Leo Ijumaa Juni Mosi Umoja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Niko Bagamoyo, mabwawa yapo tayari na maji na baadhi yana samaki nimekwama kwenye kumalizia kuingiza mbegu kwenye baadhi ya mabwawa natafuta mtu aje na mbegu ya samaki tufuge pamoja. Tutafanya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hello, Kwa yeyote anaejua na kufanya naomba kujua gharama halisi za uzalishaji wa sabuni za magadi kuanzia carton 10 na kuendelea. Gharama za materials n.k. Ahsanteni
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu! Naomba kujuzwa taratibu na sifa za kupata Leseni ya Super dealer.... Wapi inatolewa, natakiwa kuwa na sifa zzipi? Ni lazima niwe na Kampuni? Leseni nnayotaka ni Super dealer ambayo...
1 Reactions
43 Replies
9K Views
Habarini za wakati huu wana JF Kama kichwa kinavojieleza nimekuwa na wazo la kuanzisha kiwanda cha aina fulani ya chakula ambayo bado haipo sokoni kwa hapa tanzania na katika uchunguzi mdogo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwa wanaofahamu namna ya kuhamasisha mitaji ya makampuni wanafahamu maana ya debentures. Kwa kiswahili inaitwa hati gani sijui..... Je ni sheria ipi inasimamia debenture trustee katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fursa kwa watanzania kuzalisha mihogo na kuiuza China China asks Tanzania for more cassava
1 Reactions
16 Replies
3K Views
*NUKUU* "Serikali ya awamu ya 5 imefanya uamuzi mgumu wa kulifufua shirika letu la ndege kwa kuamua kununua ndege mpya za kisasa kabisa ambazo zipo kwenye Dunia ya sasa." - Dkt. Hassan Abbas...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini wanaJF... Mimi ni mwalimu wa Maths ambaye bado sijaajiriwa na shule yoyote, Ninawazo lakuanzisha tuition katika mtaa ninaoishi, hivyo naomba ushauri wako ni vitu gani nizingatie hasa ili...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom