Mtazamo ni vile ambavyo mtu amejengewa au amejijengea maana fulani au imani fulani juu ya jambo fulani. Mtazamo waweza kutengenezwa kutokana na mazingira unayoishi vitu unavyosoma, kutazama na...
Ukiwa umeajiriwa na kampuni binafsi ikaja ikatokea mmiliki wa kampuni halipi mishahara inafika mahali hata ofisi halipii jengo ilipo, landlord anafunga ofisi na mamlaka za serikali nazo...
Hali ni tete kwa wakulima wa mahindi, bei ya mahindi na bei mbolea tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.
bei ya mbolea aina ya urea ni tsh,58 000,
bie ya mahindi kwa gunia ni tsh,24000,
basi...
Nimeagiza mzigo wangu kutoka china kupitia aliexpress na nimeufuatilia kupitia traking number mpaka ukatua dar es salaam tarehe 19-07-2016 lakini mpaka leo sijaupata. Nimejaribu kufuatlia kwenye...
Ni decentralized coin ,ambapo haina institution,authority,au organization ambayo ina handle coin hii ni kama bitcoin lkn litecoin is better kuliko kutokana na sababu zifuatazo
1.blocksize kubwa...
Habari wadau.
Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu.
Mimi naishi Rukwa,na nina kampuni iliyosajiliwa kisheria na inafanya kazi tangia miaka ya 2013. Najikita na shuguli za...
Wadau,
Kuna binamu yangu (mtumishi wa Serikali) amechukua mkopo CRDB huko Ruvuma, lakini cha kushangaza hadi wiki inakatika hajapewa huo mkopo. Je, kwa wale waliokwishachukua CRDB huwa inachukua...
Habari gani jukwaani?
Mimi ni mwandishi wa vitabu vya motivation and inspiration pamoja na riwaya. Kweli nimefanikiwa kuandika vitabu kadhaa.
Nimefanikiwa kutoa kitabu kimoja cha riwaya ili...
Wizara ya Fedha na Mamlaka ya Mapato (TRA) wamethibitisha kuwa tatizo lililotokea kwenye mfumo wa kielektroniki wa utoaji risiti (EFD) kwa siku kadhaa zilizopita limetatuliwa sasa. Hivyo asitokee...
Heshima kwenu!
Naomba msaada wa kuelekezwa Jinsi ya kuandika Business Proposal! Ni Chuo kinatakiwa kujengwa sasa nahitaji kuandaa hio kitu Msaada tafadhari!
Hey, there.
We only talk about earning money during construction phase of Natural liquefied Natural gas (LNG) plant in Lind town, Tanzania.
Either you are looking to invest or you're looking for...
Mfano ukikopa NMB, CRDB au NBC kisha ukafanya mambo yako yakaenda kama ulivyotarajia na ukataka kurudisha mkopo mapema ni gharama zipi utakumbana nazo tofauti na kiasi cha mkopo kilichokuwa...
Ndugu wajasiriamali,
Kama mnavoona hali ya chakula nchini ikiwa vizuri kabisa. Cha kustabisha wafanyabiashara ya mahindi namba zinasomeka kwelikweli saivi kilo kuanzia 400 /=
Tatizo linakuja mtu...
Kuna kipindi(about 5months ago) niliwahi kuleta idea yangu ya project,
. . . Project yangu ilijikita zaidi kuweza kutatua kero ya UPUKUCHUAJI wa mahindi kijijini kwetu na baadhi ya vijiji vya...
Habari Wakuu,
Nianze moja kwa moja kuzungumzia kuhusiana na mada tajwa, mimi ni mkulima na pia nafanya biashara ya kununua mahindi kisha naweka store kwa muda nikisubiri bei iongezeke...
Miaka...
Habari!
Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo
1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.