Kuna wazo moja niko nalo kichwani hapa la majani ya chai/kahawa spesho kwa wanaume kwamba inaongeza nguvu za kiume unachanganya na congo dust kimtindo unapitisha tbs na TFDA kutest...
Looking for those who are interested in doing businesses in Constructions Industry.
Jamani ni Capital tu inagomba but we can be more than NHC.
Those who wish to invest in this Infustry let us join...
Habari zenu wakubwa!
Nina mtaji wa laki moja nataka uza genge au niuze Machungwa ,je kwa mtaji huo utatosha kwa biashara ipii? kwa wataalamu unatosha wa hizo kazi??
Naheshimu mawazo yako!
Ubarikiwe
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nimepata wazo nichukue mkopo benki kisha ninunue gari aina ya hiace ili kuweza kuifanya daladala hapa Mwanza ambapo kwa siku itaniwezesha kupata elfu hamsini...
Wakuu na mpango wa kwenda kesho sabasaba, vp mliotangulia kutembelea pale, maonyesho yapo vizuri au yamedorora?
Viingilio vya mwaka huu navyo vipo vp, bei yake kwa wakubwa na watoto?
Wiki iliyopita TRC ilirejesha safari za treni za mizigo kutoka Tanzania mpaka Kampala Uganda kupitia Tabora, Isaka, Mwanza na Ziwa Victoria kwa kutumia bandari ya Mwanza na Port Bell nchini...
nimepata wazo hilo kwa sababu karibia tanzania itaingia kwenye digital,hivo nikianzisha vipind hivo nitauza kwa channel za tanzania,na nchi nyingine za afrika mashariki baadae nitauza ata kwa...
Nakuja kwenu ndugu jamaa na marafiki mimi ni kijana wa miaka 19 naelekea 20, Mungu akijaalia
nimemaliza form miaka 12 iloyopita.
Katika ishu za kutafuta nikawa najifunza ufundi umeme wa majumbani...
Wanajamii wazima?
Kwanza poleni uongozi kwa kutokua hewani kipindi kile, mimi hadi leo app inanisumbua, haifungui, nimeunistall nikainstall tena lakini wapi...
Nije kwenye suala langu, nataka...
Naitaji ushauri wenu wakubwa..
lengo langu ni kua mfanyabiashara wa kimataifa shida nafkilia kuhusu Course ya kwenda kusoma chuo kikuu inayoendana na hio kitu.
Msaada tafadhari
Mwandishi huyu ameanzisha vipindi vya mfululizo kwenye maonyesho ya sabasaba,kipindi hicho kinarushwa TBC 1, kuanzia saa 21:15Pm.
Wito wangu kwenu,tumpeni ushirikiano
Habari wana jamvi?
Ninasafari ya kwenda Thailand hivi karibuni. Ninaomba order ya mzigo wowote unaohitaji kutoka kule hasa nguo.
Nitakuja na mzigo na kukuuzia kwa bei poa ya jumla.
Order plz!
Naamini hamjambo waungwana
Mkoa wa kagera unategemea zao la kahawa kibiashara. Inashangaza kuona zao hilo linashuka bei wakati nchi jirani - Uganda bei iko juu. Mkoa una wawakilishi wa wananchi...
Boeing and Embraer to Establish Strategic Aerospace Partnership to Accelerate Global Aerospace Growth
CHICAGO and SÃO PAULO, July 5, 2018 /PRNewswire/ -- Boeing (NYSE: BA) and Embraer (B3: EMBR3...
Nature ya Project:
Preparation of educational and training resources
Cost of the Project:
Office rent: TZS 70,000 pm x 6 months = 420,000
Other initial financial resources required for the...
Hivi mnaomba mikopo katika mabenki ya kibiashara kwa sasa mnaipata mapema au inachukua muda kuliko ilivyokuwa siku za nyuma?
Hili ni swali lakini wakati huo huo ni utafiti usio rasimi kutokana...
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 najishugulisha na Maswala ya IT zaidi, naningependa kufahamu au kupata elimu juu ya swala zima la uwekezaji kwenye hizi Saccos zetu hapa Tanzania.
Dunia kwa sasa imebadilika mno kiasi kwamba mtu asipo kiwa makini atajikuta nje ya wakati.
SHARED ECONOMY ni model mpya kabisa kwenye Biashara na ndo kwanza inashika kasi.
Hii ni Model inayo...
JF ina members zaidi ya 400,000! Hizi figures nimezisoma hapo pembeni kulia kwa wanaotumia browser. Sasa hivi ninavyoandika kuna watu 2,500 online karibu nusu wanaperuzi kama guests.
Imagine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.