WanaJF
Mara nyingi, wataalam wa ICT (programmers, developers, coders, etc.) huwa hawashiriki au hawashirikishwi moja kwa moja kwenye uwekezaji wa fursa za kibiashara, kwa kuwa, mosi, wengi wao...
Hello Wa Tz
Hii nimefanya research ya kutosha nikaona watanzania wengi wana wana mawazo mazuri sana ya kufanya biashara Ila hawana mtaji au hawana ujuzi juu ya kufanya miradi wanayotaka kufanya...
Habari wana jf!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa hapa tanzania hasa awamu hii je nini mawazo yako kuhusu hii biashara?
Changamoto zake na mengine kama hayo!!
Karibuni kwa mawazo...
UTANGULIZI
Jamii ya Tanzania bado iko kwenye changamoto za Afya na Elimu; jambo linalofanya watu wengi waishi maisha duni. Changamoto hizo zinasababishwa na mambo mengi ikiwa ni pamoja na uelewa...
Kwa wanunuzi wa bidhaa mtandaoni; hapa nazungumzia Aliexpress na Alibaba huu ni uzi maalum wa kujifunza kuagiza bidhaa kupitia mtandao huu hususan Aliexpress.
Mjuavyo Aliexpress ni mtoto wa...
Hivi kwa sasa tuna-experience economic growth au economic development?
Maaana watu wanazidi kuwa maskini huku ripoti zikionesha gdp growth rate ni 7% plus
Habari wakuu,
Nina page yangu nauza bidhaa za mtandaoni hivi karibuni nataka nianze kuyaboost matangazo yangu fb kwa kuwalipa fb.
Je njia hii nitapata wateja? Kuna aliyewahi kujaribu hivi anipe...
While it’s possible to take MRSA and not show any symptoms, most who come into contact with this risky viruses create healthcare care issues as a impact. The epidermis, the largest whole...
KWANINI TUNAZALIWA MASIKINI NA KUFA MASIKINI/ MAFUKARA NDIO WENYE AKILI NYINGI LAKINI BADO NI MAFUKARA.
"yuleaa ana akili Sana ni vile tu bado hajapata pakutokea". "Aah yule si anatumia tu Mali...
iPhone X
iPhone X ndiyo simu iliyouzwa zaidi kwa mwaka huu, lakini katika rekodi za dunia zipo simu ambazo zimewahi kununuliwa kwa wingi zaidi.
Hii hapa chini ni orodha ya simu zilizowahi...
r a plant-based breakfast? Here’s what up breads, one-half grape, 50 % a apples, three to four strawberries, a few blueberries, a few blackberries, an amount of peanut butter. Coffee. Two to three...
NAMNA GANI MARAFIKI WANAWEZA KUATHIRI BIASHARA YAKO. /UNAO WAITA "WATU WAKO" KAMA HAWASUPPORT UNACHOFANYA SIO "WATU WAKO".
NI wazi kuwa watu nchi yetu imejengwa kwa misingi ya ujamaa na...
Wafanyabiashara hii tabia imezidi siku hizi eti "sina chenchi" kwa hiyo nisinunue alafu kibaya zaidi hadi kondakta naye anasema "sina chenchi" kwa hiyo nisilipie.
MImi nafanya biashara ya kununua na kuuza dhahabu hapa hapa Tanzania. Nanunua kwa wachimbaji wadogo wadogo, nauza kwa hawa Sonara wa hapa hapa nchini ambao hununua kwa asilimia (percentage...
Habari wana janvi, nahitaji ushauri pamoja na utaratibu wa namna nzuri ya kufungua kampuni ndogo ya kukopesha fedha, mambo ninayohitaji kuyajua ni;-
1. Kianzio cha mtaji unaohitajika
2. Utaratibu...
Heri wanajukwaa
Kuna alishawahi kununua simu mtandaoni km ebay, amazon na aliexpress akatumiwa simu kwa njia ya posta akaipata bila kuibiwa?
Nataka kununua simu aliexpress sasa itabidi nitumiwe...
Husika na kichwa cha habari hapo juu nilikuwa nahitaji kujua translation yani kubadilisha maneno ya kingereza kwenda kwenye kiswahili kwa ukurusa mmoja inaweza kugharimu kiasi gani cha fedha...
Mzee Reginald Mengi ametangaza fursa ya mtaji wa $ 20 000/- kwa vijana walio chini ya miaka 35. Watahitajika vijana wawili ambao kila mmoja atakunja $ 20 000/
Habari wana jf,
Najua kwa sasa teknolojia imekuwa sana duniani, dhumuni la uzi huu naomba tujuzane fursa tofauti tofauti zilizopo kwenye teknolojia ili na sisi tuzikimbilie kama walivyofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.