Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ndugu yangu karibu tena katika makala fupi hii juu ya kuelimishana Matajiri wengi huchukia maskini wakiskia hii habari. Umaskini sio mpango wa Mungu juu ya mwanadamu.Ni matokeo ya kupuuza...
27 Reactions
44 Replies
11K Views
Tumefurahi kuungana rasmi na KPMG ambao ni wataalamu na washauri katika masuala ya biashara, na Mwananchi Communication Limited kama madhamini mkuu katika mchakato wa kufanya uchunguzi wa kutambua...
1 Reactions
1 Replies
897 Views
Salamu wakuu.....!!! wakuu kama kichwa cha habar kinavosema naomba kujua mwenye ujuzi na hivi vitu gharama ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguo kuanzia kuchakata pamba mpaka kutoa...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Changamoto inayonikabili mimi ni upungufu wa mtaji, na mtaji nilio nao mm ni Eneo zuri maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mtu ambae tutawekeza pamoja, Habari niliyoifikia mm ni ufugaji wa kuku wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii bank walikuwa serious na customer care nzuri lakini naona sijui wameingiwa na mdudu gani? Yaani week mbili nashughulikia nyongeza ya mkopo (topup), mara lete hiki, mara kile, vitu ambavyo...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
wakuu nataka kufanya biashara ya electronics nijikite kwenye samsung na iphones , laptops pamoja na video game consoles kama ps4 n kadhalika, nn mawazo yenu kuhusu mpango huu, ?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu salaamu. Ningependa kujua ni vitu gani hufanya mradi ufadhiliwe na mashirika ya kimataifa kama UNIDO, DANIDA, UNEP. Na je, mashirika yanasapoti kampuni binafsi zinazofanya mambo yaliyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je ni benki ipi inayotoa huduma nzuri na yenye Gharama nafuu? Ushauri..
0 Reactions
42 Replies
11K Views
Maneno bahati mbaya na nzuri yamekuwa yakisikika sana katika vinywa vya watu wengi duniani, mtu akifanikiwa kutoka salama katika ajali watu husema kuwa “yaani imekuwa bahati nzuri ametoka salama”...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habarini wanabodi. Moja kwa moja kwenye mada. Unataka kuanzisha biashara? Hakuna kitu kinauma kwa mjasiriamali yoyote yule kuona biashara, project au wazo flani ambalo aliamini laweza kumtoa...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Hello wadau, IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS, pamoja na shughuli nyingine katika field ya "Project development services", Leo nahamasisha wadau katika uwekezaji kiuchumi na kijamii. Kila siku watu...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Assalam Aleykum wakuu Katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vimradi vidogo vidogo ndio wamekuwa wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekuwa wakiwadharau na kuwadhihaki...
3 Reactions
166 Replies
12K Views
Awali ya yote napenda kutoa shukrani za dhati kwa members wa jf hususani katika jukwaa hili. Mimi ni miongoni mwa waajiriwa katika sekta fulani hapa Tz, pamoja na kufanya kazi hii, bila shaka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Biashara gani inalipa msimu wa kiangazi
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Hii inawahusu watu wote, inakupa uwezo wa kutengeneza mpaka tsh. 100,000 na zaidi ni biashara ya advertising kwa maelezo zaidi tupia hapa group la whatsapp me nitakuja hiko tupeane ujuzi hakuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bei: Milioni 3.8 Zinafaa kwenye korosho au fumigation majumbani. Description The Tomahawk Backpack Mist Blower is perfect for applying pesticides in small orchards and vineyards or for pest and...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
heshima kwenu wadau wa kutengeneza fursa za kuongeza utajiri, wakati fulani niliwahi kusoma historia ya tajiri mkubwa aitwaye WARREN BUFFET, ambapo alielezea kwa ufanisi mkubwa kuhusu jinsi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu. Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nahitaji kukopeshwa hela ninunue bajaji ili ipige kazi hapa mjini(Dar es salaam).Nitapambana kila mwezi niwe narudisha laki 600,000/-...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
kama utapatiwa sh laki tano ukiwa Dar unawezafanya biashara gani ikakuingizia pesa ? ukajikwamua kiuchumi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom