Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kijana mdogo ONTARIO aliyejizolea jina kubwa na hata kubadili jina lake na kuwa Mkuu na Chief akiiitwa na watu wa rika mbalimbali wazee kwa vijana. Kijana huyu ameleta sauti za matumaini kubwa...
8 Reactions
203 Replies
33K Views
Nina line mbili za M-Pesa (ya wakala na second) zote pin ziko blocked, bad enough nilinunua tu kwa mtu 3yrs ago. Kwa hiyo haziko kwa majina yangu. Naombeni msaada kwa mwenye maarifa namna ya...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Jamani nataka kuwa mjasiriamali? Na nataka nianzishe biashara yangu kwa mtaji mdogo sana,je una niashauri nini kwenye biashara hiyo ambayo nataka niifanya ingawa bado sijaifikilia biashara gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu hivi NMB wanapokutumia SMS kwamba karibu upate Mkopo wenye riba nafuu kwa kukitaja jina kabisa,wanakuwa wanapata wapi taarifa zako? Je wako serious watakupa mkopo? Je wametumia kigezo gani...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kilio cha watu wengi kukosa ajira kilipokuwa kikubwa tuliambiwa tukajiajiri,mzee nikasema isiwe shida ngoja nijiajiri yawezekana huko ndiko utajiri ulipojificha. Nikawaza nifanye nini,nikakumbuka...
17 Reactions
65 Replies
5K Views
Habari wana JF, natumai muwazima afya, Moja kwa moja kwenye mada, kama kichwa cha habari kilivojieleza hapo juu, Nimepata matatizo huko nyumbani shida yangu nilikua naomba wasamaria wema wa JF...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Tanzania imeorodheshwa kuwa miongoni mwa mataifa ambayo uchumi wake utakua kwa kasi zaidi kufikia mwaka 2026. Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo cha Chuo Kikuu cha Havard cha Marekani kinakadiria...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Naomba niwe muwazi. Mimi ni mmoja kati ya watu wanaotumia huduma za kifenda za hii mitandao ya simu. Naomba kuwapongeza tigo kwakua wako poa na hawajawahi kunisumbua. Tatizo ni kwa hawa mpesa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Makala Ndani ya RAIA MWEMA: "Ndimi mbili za Zitto na kisa cha mkata kuti alilokalia" Makala Ndani ya RAIA MWEMA: "Ndimi mbili za Zitto na kisa cha mkata kuti alilokalia"
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuna binti mmoja kutoka Tanga alipata mchumba, ni kijana anaeishi Dar. Mchumba akimuomba sense likizo mwezini mmoja ili wafahamiane vizuri kabla ya harusi. Yule binti amefika kwa mchumba aliona...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
*MTIHANI WA UELEWA WA ELIMU YA FEDHA* kabla sijaanza kufundisha juu ya elimu ya fedha naomba kutoa mtihani huu wa kifedha, lengo la mtihani huu Ni kujitambua wewe mwenyewe juu ya uelewa wako wa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Poleni na shughuli wakuu, ninaona fursa kabisa iko wazi hapa kwenye biashara ya juice hasa kwa sisi ambao tupo mkoani. Kwa sisi ambao bado hatujaingia rasmi kwenye hiyo biashara ni vyema tungepata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HIVI UNAJUA? Na, Ikwataki Audax Unajua, kuna wasomi wanawapuuzia watu ambao hawajasoma kama wao.. Yaani hawa wasomi hawataki kuwapa nafasi wenye elimu ya chini kushirikisha ideas...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu waungwana natarajia kuanzisha mgahawa au sehemu ya kuuzia chakula cha kupikwa ila nategemea kuweka msimamizi au manager wa kusimamia hiyo biashara kwa kuwa mimi nina biashara nyingine...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wanajamii mimi ni kijana nipo Kasulu mkoa wa Kigoma nataka kufanya biashara ya kuwa nachukua mpunga mashambani na kuja kuuza kasulu mjini ikiwezekana mwakani nianze kuulima pia mwenye...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
...Uamuzi wako wa kusikiliza sana maneno ya watu na kuwafanya wao ndio majaji na wa waamuz wa maisha yako, yaani mpaka wakuthibitishe wao ndio ufanye jambo, itakugharimu nguvu nyingi sana Kufikia...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ni Pilicy ambayo ingegusaidia sana
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Sisi wanaume sio wote wamepewa uwezo wa kiume -Wengi wamekwama -mitaji. hawana -njia hawajaijua -wanaume tuwezeshane kiuchumi -wanaume wa tanzania tunaweza zaidi Natafuta wa kuniwezesha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…